Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page24/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   20   21   22   23   24   25   26   27   ...   206

2.4.3 Mchangamfu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mchangamfu.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mchangamfu?

energetic, vigorous, be full of energy, bursting with energy, dynamic, hyperactive, tireless, boisterous,

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mchangamfu na mwenye furaha?

lively, vivacious, animated, be full of beans, bright and breezy, be a live wire, feel alive,

(3) Maneno gani huelezea matendo au mwenendo mchangamfu?

energetic, vigorous, tireless, lively, animated,

(4) Maneno gani hutaja nguvu au uwezo wa kuwa mchangamfu?

energy, vigor, get-up-and-go, vitality, vim and vigor, oomph,

2.4.4 Kuchoka


Tumia eneo hili la maana kwa maneno yanayohusiana na kuchoka.

(1) Maneno gani humwelezea mtu aliyechoka?

kuchoka, kuchakaa

(2) Maneno gani humwelezea mtu aliyechoka na hataki kufanya kazi?

lethargic, sluggish, languid,

(3) Maneno gani hutaja hali ya kuchoka na kutaka kulala?

sleepy, drowsy, half-asleep, can hardly keep your eyes open,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kuanza kuchoka?

get tired, tire, flag, run out of steam, burn out,

(5) Maneno gani hutaja kumsababisha mtu achoke?

kuchosha, kuchakaza

(6) Maneno gani huelezea kitu kinachomchosha mtu?

ya kuchosha, choshi

(7) Maneno gani hutaja hali ya kuchoka?

tiredness, exhaustion, fatigue, weariness, lethargy, jet-lag, sluggishness,

(8) Watu hufanya nini iwapo wamechoka?

yawn, sigh, drag, droop, drop, faint, flag, pant, puff, stretch, wilt, wind down,

2.4.5 Kupumzika


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kupumzika.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupumzika?

kupumzika, kutulia, raha, utulivu

(2) Maneno gani humwelezea mtu aliyepumzika?

kupumzishwa, kupata nguvu mpya

(3) Maneno gani hutaja muda wa mtu kupumzika?

mapumziko, chai, muda wa kusimamisha kazi

(4) Wafanyakazi hupumzika wapi?

kivulini

(5) Maneno gani huelezea hali inayomsaidia mtu kupumzika?

restful, relaxing,

2.4 Hali ya mwili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayohusiana na hali ya mwili kwa jumla.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja hali ya mwili kwa jumla?

hali, hali ya mwili, siha, rai

Page

2.5.1.1 Kupata nafuu ya ugonjwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kupata nafuu ya ugonjwa au jeraha.

(1) Maneno gani hutaja kupona?

kupata nafuu, kupona, kupata ahueni

(2) Maneno gani hutaja kupona kwa maradhi?

recover from, get over, shake off,

(3) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa mgonjwa sana?

out of danger,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kutumia muda mwingi kupumzika kwa ajili ya kupona?

recuperate, convalesce,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na afya baada ya kuugua?

be better, be well, be fully recovered, be cured, be over something, be back on your feet, be up and about, be fit, be healed, be well again, be fine, be back to normal, be restored to health, be whole again,

(6) Maneno gani hutaja kujisikia vizuri kiasi kwamba unaweza kufanya kitu?

feel up to,

(7) Maneno gani hutaja kuisha kwa ugonjwa?

go away, clear up,

(8) Maneno gani hutaja jeraha kupona?

heal, mend,

2.5.1 Kuugua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayomwelezea mtu ambaye ameugua.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuugua?

be sick, be ill, not be well, be in a bad way, do poorly,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kuugua maradhi?

have (a disease), suffer from, be sick with, infected with, stricken with, have an attack of,

(3) Maneno gani hutaja hali ya kuugua kidogo?

off color, under the weather, run down, not feel yourself, not be yourself,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kuugua sana?

bedridden, decline, failing, life is ebbing, sinking (fast), seriously ill, critically ill, terminally ill, be fatal,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia kuumwa?

feel ill, not feel well, feel rough, feel funny, feel sick, feel sick to your stomach, groggy, feel faint,

(6) Maneno gani humwelezea mtu aliye mgonjwa?

kuugua, kuumwa, kuwa mgonjwa, kujisikia vibaya, kuwa na afya mbaya

(7) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anaugua mara kwa mara?

sickly, delicate, be in poor health, be prone to, hypochondriac,

(8) Maneno gani hutaja kuanza kuwa mgonjwa?

kuugua, kupatwa na ugonjwa fulani

(9) Maneno gani humtaja mtu aliye mgonjwa?

mgonjwa, mjeruhiwa

(10) Maneno gani hutaja kipindi ambacho watu wengi wameugua ugonjwa mmoja?

epidemic, plague, outbreak, pestilence,

2.5.2.1 Utapiamlo, njaa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kutokuwa chakula cha kutosha.

(1) Maneno gani hutaja hali iliyotokea kwa watu wasio na chakula cha kutosha?

utapiamlo, safura

(2) Maneno gani hutaja kufa kwa ajili ya ukosefu wa chakula?

kufa kwa njaa

(3) Maneno gani humwelezea mtu aliye na ukosefu wa chakula?

starving, malnourished, anemic, emaciated,

2.5.2.2 Ugonjwa wa ngozi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja magonjwa ya ngozi kama vile ukoma, majipu na vipele.

(1) Maneno gani hutaja kidonda kwenye ngozi?

kidonda, jeraha, jipu, baka, lengelenge, uvimbe, kigaga, vipele, ukurutu, chunusi, vilio la damu

(2) Magonjwa fulani ya ngozi huitwaje?

ukoma, surua, upele, ndui, choa, bato, tetekuwanga

(3) Maneno gani hutaja kuwa na ugonjwa wa ngozi?

kuambukizwa

(4) Maneno gani hutaja ugonjwa kufika hali mbaya zaidi?

spread, turn gangrenous, fester, peel, break,

(5) Maneno gani hutaja kidonda kidogo kwenye ngozi?

pimple, acne, zit, whitehead, blackhead,

(6) Maneno gani hutaja usaha?

usaha, udusi

(7) Usaha hufanya nini?

kuvuja, kutona, kuchirizika

(8) Maneno gani humtaja mtu mwenye ugonjwa wa ngozi?

mkoma



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   20   21   22   23   24   25   26   27   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page