2.3.2.5 Sauti ndogo, utulivu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea sauti ndogo.
(1) Maneno gani huelezea sauti ndogo?
• quiet, low, soft, muffled, faint, muted, weak,
(2) Maneno gani huelezea kitu au mtu aliye na utulivu.
• quiet, silent,
(3) Maneno gani huelezea sauti ndogo ya mtu?
• hushed, subdued,
(4) Maneno gani huelezea mahali au hali ambayo ni tulivu?
• quiet, peace and quiet, hush,
(5) Maneno gani hutaja sauti ndogo?
• whisper (n), murmur, rustle,
(6) Maneno gani hutaja tendo la kutegeneza sauti ndogo?
• whisper (v), murmur, mutter,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kupunguza sauti?
• get quieter, go quiet, die down, die away, fade away, fall silent, lower your voice,
(8) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu au mtu kupunguza sauti?
• quiet someone down, silence (v), hush, muffle, turn down, shut someone up,
(9) Unasemaje ikiwa unahitaji mtu atulie?
• shh, shush, shut up, be quiet, keep it down, pipe down,
(10) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na sauti yoyote?
• silent, silence, you could hear a pin drop,
(11) Maneno gani huonyesha kwamba wewe unafanya kitu bila kutengeneza sauti yoyote?
• without a sound, not make a sound, in silence, noiseless, soundless, quietly, silently,
2.3.2 Kusikia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kusikia--yaani uwezo wa kusikia au mlango wa fahamu wa kusikia.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusikia kitu?
• kusikia
(2) Maneno gani hutaja uwezo wa kusikia?
• hearing, sense of hearing,
(3) Maneno gani hutaja hali ya kuweza kusikia kitu?
• can hear, can make out, within someone's hearing, within earshot, catch, get,
(4) Maneno gani hutaja hali ya kutoweza au kushindwa kusikia kitu?
• can't hear, not catch, can't make out, out of earshot,
(5) Maneno gani hutaja vitu vinavyotumika na watu ili kuwasaidia kusikia vizuri zaidi?
• hearing aid, bug, stethoscope
(6) Maneno gani yanaelezea kitu ambacho kinahusiana na kusikia?
• aural, auditory, audio, acoustic, sound (adj),
2.3.3 Kuonja
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuonja--yaani uwezo wa kuonja au mlango wa fahamu wa kuonja.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuonja kitu?
• kuonja, kulamba
(2) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu makusudi ladha ya kitu?
• taste, have a taste, try, sample, lick, sip,
(3) Maneno gani hutaja uwezo wa kuonja?
• sense of taste, palate, taste buds,
(4) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na kuonja?
• gustatory,
(5) Maneno gani hutaja ladha ya kitu?
• ladha
(6) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kina ladha sawa na kitu kingine au kina ladha ya aina husika?
• taste like, taste of, taste (good/bad), have a (good/bad) taste, (good/bad) tasting, flavored,
(7) Maneno gani huelezea kitu chenye ladha nzuri?
• kitamu, yenye ladha nzuri
(8) Maneno gani huelezea kitu ambacho kinaonekana kuwa na ladha nzuri?
• appetizing, tempting, mouth-watering, make your mouth water,
(9) Maneno gani huelezea kitu chenye ladha mbaya?
• chachu, kisicho kitamu, chenye ladha mbaya
(10) Maneno gani huelezea kitu chenye ladha ya pilipili?
• strong, hot, spicy, piquant, fiery, pungent, peppery
(11) Maneno gani huelezea kitu ambacho hakina ladha ya pilipili?
• mild, bland, insipid, weak,
(12) Maneno gani huelezea kitu kisicho na ladha?
• kisicho na ladha, bila ladha, kisichostaarabu, chapwa
(13) Maneno gani huelezea kitu chenye ladha tamu?
• sweet, sugary, sickly sweet, sweeten,
(14) Maneno gani huelezea kitu ambacho hakina ladha tamu?
• unsweetened, savory, dry,
(15) Maneno gani huelezea kitu ambacho kina ladha ya siki?
• sour, sharp, tart, tangy,
(16) Maneno gani huelezea kitu chenye ladha chungu?
• bitter, acrid, astringent, bitter-tasting, caustic,
(17) Maneno gani huelezea kitu chenye ladha ya chumvi?
• salty,
2.3.4 Kunusa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kunusa--yaani uwezo wa kunusa au mlango wa fahamu wa kunusa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kunusa kitu?
• kunusa, kunusanusa
(2) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu makusudi kunusa kitu?
• smell, sniff, snuff, savor,
(3) Maneno gani hutaja uwezo wa kunusa?
• sense of smell, a good nose,
(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho kinahusiana na kunusa?
• olfactory,
(5) Maneno gani hutaja harufu ya kitu?
• smell, odor, scent, whiff, fume, essence, aroma, bouquet, fragrance,
(6) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kimoja kina harufu sawa na kingine au kina harufu ya aina husika?
• smell like, smell of, smell (good/bad), have a (good/bad) smell, (good/bad) smelling, give off a smell,
(7) Maneno gani hutaja hali ya kunukia?
• smell good, smell nice,
(8) Maneno gani hutaja hali ya kunuka?
• smell bad, smell, stink, reek, stink the place up,
(9) Maneno gani huelezea kitu chenye harufu nzuri?
• chenye harufu nzuri, kunukia, nuko
(10) Maneno gani huelezea kitu chenye harufu mbaya?
• kunukia, nukato
(11) Maneno gani hutaja harufu nzuri?
• scent, perfume, fragrance, aroma, bouquet,
(12) Maneno gani hutaja harufu mbaya?
• smell (n), odor, stench, stink, reek, halitosis,
(13) Watu hutumia maneno gani kusema kwamba kitu kina harufu mbaya?
• uhu, lo (mlio wa karaha)
(14) Maneno gani huelezea kitu kinachotoa harufu kwa urahisi?
• strong, powerful, pungent, heady, redolent,
(15) Maneno gani huelezea kitu kisichoweza kunusika kwa urahisi?
• faint,
(16) Maneno gani huelezea kitu ambacho hakina harufu?
• odorless, inodorous, inodorousness, scentless,
(17) Maneno gani hutaja kitu kinachoanza kutoa harufu?
• start to smell,
(18) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimeacha kutoa harufu?
• lose its smell,
(19) Maneno gani hutaja kueneza kwa harufu?
• waft, dissipate,
(20) Maneno gani hutaja tendo la kuondoa harufu mbaya?
• kuondoa harufu, kusafisha hewa
(21) Watu hutumia nini ili kuondoa harufu mbaya?
• kiondoa harufu, manukato, marashi, uturi, ubani, udi, buhuri
(22) Maneno gani hutaja tendo la kuziba pua yako ili usisikie harufu ya kitu?
• hold your nose,
Share with your friends: |