Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page30/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   26   27   28   29   30   31   32   33   ...   206

2.5.7 Kutibu maradhi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kutibu magonjwa na ajali.

(1) Maneno gani hutaja kumtibu mtu ambaye amejeruhiwa au ni mgonjwa?

give someone treatment, treat, treatment, medical treatment, therapy, therapeutic, medical procedure, rehabilitation, medical aid, first aid, go to the aid of,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumtunza mgonjwa?

kuuguza, kumtunza mgonjwa

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutibu maradhi fulani?

kutibu, kutibisha, kuponya, tiba vitobo

(4) Maneno gani hutaja aina fulani ya matibabu?

resuscitate, acupuncture, blood transfusion,

(5) Maneno gani hutaja kutibu kidonda?

kusafisha (kidonda), kufunga (kidonda), kufungia bendeji

(6) Maneno gani hutaja kutibu mvunjiko wa mfupa?

kuunganisha (mfupa), kufunga kwa banzi, kufunga kwa kalibu

(7) Maneno gani hutaja upasuaji?

upasuaji, kupasuliwa, operesheni, mkato, chanjo, mshono wa kidonda, kisu kidogo cha kupasulia

(8) Maneno gani hutaja kutibu maumivu?

alleviate, ease, anesthesia, anesthetic, general anesthesia, local anesthesia, anesthetize,

(9) Maneno gani hutaja vitu vinavyofanyika kutibu maradhi au magonjwa?

radiation, scan,

(10) Maneno gani hutaja kujaribu kugundua tatizo la mtu mgonjwa ni nini?

diagnose, prognosis, draw/take a sample, examine a patient, take an x-ray, do a test, test for, lab report, take someone's temperature, take someone's blood pressure, take someone's pulse, check-up, take a sample, specimen,

(11) Maneno gani hutaja tendo la kumwambia mgonjwa afanye nini ili apone?

prescribe, prescription,

(12) Maneno gani tendo la kumponya mtu?

cure, make someone better, heal, fix, healing, rehabilitate,

(13) Maneno gani hutaja kitu kinachomponya mtu?

cure (n), remedy, antidote, curative,

(14) Vifaa gani hutumika katika kutibu ugonjwa?

mashine ya eksirei, sindano, maabara, stetoskopu (chombo cha kusikilizia mapafu na mapigo ya moyo)

(15) Maneno gani hutaja kuzuia ugonjwa?

hygiene, immunization, immunize, inoculate, inoculation, vaccinate, vaccination

2.5.8 Kuvia akili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuvia akili.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mgonjwa wa akili?

mentally ill, insane, mad, crazy, disturbed, mentally disabled, crackbrained, crazed, demonized, demon possessed, feeble minded, melancholic, neurotic, obsessive, paranoid, preoccupied, psychopathic, psychotic, retarded, catatonic,

(2) Maneno gani humwelezea mzee ambaye ameanza kuwa mgonjwa wa akili?

senile, confused, his mind is wandering, lose your marbles,

(3) Maneno gani hutaja ugonjwa wa akili?

mental illness, madness, insanity, dementia, demon possession, fixation, hypochondria, lunacy, mania, melancholia, neurosis, obsession, paranoia, psychosis, schizophrenia, senility

(4) Maneno gani hutaja kuanza kuwa mgonjwa wa akili?

have a nervous breakdown, crack up, go mad, go insane, go crazy, go senile, develop a psychosis

(5) Maneno gani hutaja kitu fulani ambacho kimesababisha ugonjwa wa akili?

brain injury, mental trauma, shock,

(6) Maneno gani hutaja kutofanya kazi kwa kiasi fulani cha akili au akili yote?

mild retardation, severe retardation, vegetable,

(7) Maneno gani hutaja mgonjwa wa akili?

madman, crazy man, hypochondriac, idiot, lunatic, maniac, possessed man, psychopath, schizophrenic, retard,

(8) Maneno gani humtaja mtu anayewaangalia wagonjwa wa akili?

psychologist, psychiatrist, exorcist,

(9) Maneno gani hutaja aina ya hospitali kwa wagonjwa wa akili?

insane asylum,

(10) Maneno gani humtaja mtu ambaye yuko kawaida na si mgonjwa wa akili?

sane, sanity, of sound mind,

Page

2.6.1.1 Kuandaa ndoa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maandalizi ya ndoa. Makabila yanatofautiana katika tamaduni na mazoea. Katika tamaduni fulani, ndoa zinaandaliwa na wazazi. Katika tamaduni zingine, mwanaume anahitaji kumtafuta mwanamke peke yake. Katika tamaduni zingine, yote yanaruhusiwa au yote yanafanyika mara moja. Kwa hiyo, inawezekana baadhi ya maswali yaliyopo hapo chini hayahusi tamaduni yenu.

(1) Maneno gani hutaja mchakato wa kuandaa ndoa?

arrange a marriage, arranged marriage, marriage negotiations, match, espousals, marry off,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumwambia mtu fulani kuoana nawe?

ask someone to marry you, propose, pop the question, proposal,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kukubaliana kuoana?

get engaged, engagement, set a date,

(4) Maneno gani hutaja tangazo la ndoa inayotarajiwa?

wedding announcement, announce your engagement, banns,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kuahidiana kwa ndoa?

kuchumbia, kuchumbiwa, kuchumbiana, kuposana

(6) Watu wanaochumbiana huitwaje?

mchumba, wachumba

(7) Maneno gani humtaja mtu ambaye husaidia katika makubaliano?

matchmaker, go-between

(8) Maneno gani hutaja zawadi au mahali iliyotolewa kwa mwenzi wako au wazazi wake?

engagement ring, bride price, dowry

(9) Maneno gani humtaja mwanaume anayejaribu kumshawishi mwanamke kuoana naye?

court, courtship, woo, suit, suitor, date, flirt,

(10) Maneno gani hutaja umri unaotosha kwa mtu kuoa au kuolewa?

marriageable age, coming out party, eligible, nubile,

(11) Maneno gani hutaja tendo la kuoa au kuolewa kwa siri?

elope,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   26   27   28   29   30   31   32   33   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page