Page 3.1.1 Tabia, hulka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea hulka ya mtu (namna ambavyo anafikiri, anazungumza, na namna anavyofanya akiwa na watu wengine).
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja hulka ya mtu kwa jumla?
• tabia, utu, hulka
(2) Maneno gani huelezea tabia za hulka?
• introvert, extrovert, outgoing, shy, quiet, sociable, talkative, vivacious, intense, easy-going, down-to-earth, homespun, melancholic, phlegmatic, choleric, sanguine, logical, emotional, unemotional, impulsive, cool-headed, even keeled, flamboyant
3.1.2.1 Wepesi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya akili wakati ufahamu ukifanya kazi kwa bidii.
(1) Maneno gani hutaja utayari wa hali ya akili?
• wepesi, changamfu, kuwa macho
(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye yuko tayari?
• alert, watchful, vigilant, keep your eyes peeled, aware, clear headed, coherent, wary, mindful, responsive, sensitive,
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hayupo tayari?
• unaware, mindless, unmindful, bored, disregard, flighty, heedless, oblivious,
3.1.2.2 Kugundua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kugundua kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kugundua kitu fulani?
• notice, spot, become aware, detect, note, perceive, observe, conscious of, catch someone's eye, take note,
(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anagundua vitu kirahisi?
• observant, perceptive, eagle-eyed, have eyes like a hawk, have eyes in the back of your head, powers of observation
(3) Maneno gani hutaja kutokugundua kitu fulani?
• not notice, miss, overlook, fail to notice, escape someone's notice, unnoticed, go unnoticed
(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hagundui vitu mapema?
• unobservant, unperceptive, oblivious, can't see the forest for the trees, got your head in the clouds
(5) Maneno gani hutaja tendo la kujaribisha kufanya mtu agundue kitu?
• call attention to, bring something to someone's attention, point out
(6) Maneno gani hutaja tendo la kujaribisha kufanya mtu asigundue kitu mapema?
• distract,
3.1.2.3 Uangalifu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kuwa mwangilifu.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mwangalifu?
• pay attention, keep your mind on, take note, attentive, devote attention to,
(2) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mwangalifu sana?
• pay close attention, concentrate, concentration, give something your undivided attention,
(3) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mwangalifu kwa kitu fulani?
• pay attention to, devote attention to, turn your attention to, focus on, concentrate on, give something/someone your undivided attention, attend to,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuwa mwangalifu kupita kiasi kwa kitu fulani?
• be engrossed in, be wrapped up in, be absorbed in, be immersed in, immerse yourself in, preoccupied,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuacha kuwa mwangalifu au makini?
• turn off, switch off,
(6) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa mwangalifu au makini?
• not pay attention, daydream, be miles away, your mind wanders, inattentive, pay very little attention, mind is elsewhere, ignore, take no notice, goes in one ear and out the other,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kumfanya mtu akuangalie au akusikilize kwa makini?
• get attention, attract attention, draw attention to yourself,
(8) Maneno gani hutaja kumfanya mtu kuwa mwangalifu au makini kwa kitu fulani?
• draw attention to, call attention to, bring something to someone's attention, point out, focus attention on, highlight,
(9) Maneno gani hutaja tendo la kupokea uangalifu au umakinifu kutoka kwa watu?
• get attention, attract attention, attention, be the center of attention, be the focus of attention,
(10) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu kumwachisha mtu kuwa mwangalifu au makini kwa kitu fulani?
• distract someone's attention, divert attention, distracted, distraction, diversion,
(11) Maneno gani hutaja kuwaachisha watu kukuangalia au kukusikiliza kwa umakini?
• not want to draw attention to yourself, keep a low profile, low key,
(12) Maneno gani hutaja hali ya kuwa makini au mwangalifu kwa kitu zaidi ya kimoja?
• attention is divided,
3.1.2.4 Kudharau
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumdharau mtu--kutokuangalia, kutokusikiliza, au kutokuzungumza na mtu yeyote yule kwa sababu unafikiri hana umuhimu wowote au humpendi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutomjali mtu fulani?
• kudharau, kutojali, kutoangalia, kupuuza, kuepuka, kukataa kupokea, kutokumsalimia
(2) Maneno gani hutaja tendo la kudharau au kutokujali kitu fulani ambacho mtu anakwambia?
• ignore, disregard, not take any notice of, not listen to, fall on deaf ears,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kudharau au kutokujali kitu kibaya kinachotokea?
• overlook, let it pass, turn a blind eye, shut your eyes to, close your eyes, bury your head in the sand,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kumdharau mtu kwa ujeuri na kujifanya kwamba hajamwona?
• pretend not to notice, pretend not to see, look right through, snub, cut someone dead, shut out,
(5) Maneno gani humtaja mtu aliye kwenye mamlaka anapodharau mambo yaliyo mazuri kwa watu ambao anasimamia au ni chini yake?
• trample on, trample underfoot, ride roughshod over,
3.1.2 Hali ya akili
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya akili ya mtu.
(1) Maneno gani hutaja hali ya akili ya mtu?
• mental state, mental condition, conscious state
Share with your friends: |