Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page46/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   42   43   44   45   46   47   48   49   ...   206

3.3.1.4 Kukusudia, kunuia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kusudi la kufanya jambo fulani--yaani kufanya jambo fulani kwa kukusudia na sio kwa bahati.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukusudia kufanya jambo fulani?

intend, aim, expect, mean to do something, plan, purpose, resolve, be set on,

(2) Maneno gani hutaja kile ambacho kimekusudiwa?

intent, intention, impulse, aim, purpose, resolution

(3) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo mtu amekusudia kulifanya?

intentional, intentionally, on purpose, because I wanted to

3.3.1.5 Kwa kudhamiria


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kufanya jambo fulani kwa dhamira--yaani kukusudia kufanya jambo fulani, badala ya kufanya jambo fulani kwa bahati.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo fulani kwa kudhamiria?

deliberately, on purpose, intentionally, pointedly, make a point of, knowingly, consciously, willfully, mean to do something

(2) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo limefanywa kwa kudhamiria?

deliberate, intentional, conscious, calculated, premeditated

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutokufanya jambo kwa kudhamiria?

accidentally, by accident, by mistake, unintentionally, not mean to do something, inadvertently, unconsciously

(4) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo halifanywi kwa kukusudiwa au kudhamiriwa?

accidental, unintentional, unconscious, involuntary

3.3.1.6 Mwenye makusudi au dhamira


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusogea kwa makusudi au kuondoka kwa kusudi ili kufika lengo fulani.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kudhamiria kufanya jambo fulani?

determined, aspire, be intent on, be set on, set your mind on, be resolved, mean business, purposefully, tenacious, put yourself into,

(2) Maneno gani humwelezea mtu mwenye dhamira?

determined, adamant, committed, driven, hard headed, inexorable, inflexible, obdurate, persevering, pertinacious, single-minded, steadfast, strong-willed, stubborn, tenacious, uncompromising,

(3) Maneno gani huelezea mwenendo wa mtu ambaye ni mwenye dhamira?

stubborn, steadfast, resolute, dogged, wholehearted,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na dhamira kiasi kwamba upo tayari kufanya jambo baya?

go to any lengths, be hell-bent on, whatever the cost, ruthless, stop at nothing

(5) Maneno gani hutaja thamani ya kuwa na dhamira?

determination, ambition, commitment, drive, endurance, perseverance, pertinacity, resolve, spirit, fighting spirit, steadfastness, stick-to-itiveness, tenacity, will, willpower,

(6) Maneno gani hutaja hali ya kuongeza dhamira zaidi?

stiffen your resolve, set your mind on, commit,

(7) Maneno gani hutaja hali ya kudumu kazini?

kudumu, kuendelea

(8) Maneno gani hutaja hali ya kutokudhamiria?

apathetic, indifference, indifferent, listless, lethargic, neutral, nonchalant, uncaring,

3.3.1.7 Mgumu wa moyo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa msumbufu--yaani kutokuwa tayari kubadilisha maamuzi, kutokuwa tayari kufanya jambo ambalo mtu anataka ufanye, au kufanya jambo utakalo kufanya hata kama watu wengine hawataki ufanye.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mgumu wa moyo au hapendi kubadilisha maamuzi yake?

stubborn, adamant, bull-headed, conservative, dogged, enduring, hardened, hardheaded, headstrong, immovable, impenitent, incorrigible, indomitable, inflexible, intractable, mulish, obdurate, obstinate, persistent, pig-headed, recalcitrant, relentless, stiff-necked, strong-willed, stubborn, as stubborn as a mule, tenacious, unbending, uncompromising, ungovernable, unmanageable, unrepentant, unyielding, willful,

(2) Maneno gani humtaja mtu msumbufu au mgumu wa moyo?

stubborn fool, mule, bulldog,

(3) Maneno gani hutaja hali ya kuwa msumbufu au kuwa na moyo mgumu?

refuse to obey/listen, won't listen to reason, stick to your guns,

(4) Je ni maneno gani hutumika kwa tabia ya kuwa msumbufu?

stubbornness, inflexibility, obstinacy, tenacity, stick-to-itiveness

3.3.1.8 Tamaa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa na tamaa ya jambo fulani au kitu fulani--yaani kutaka jambo baya au ambalo limekatazwa.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kutamani kitu fulani (yaani kutaka jambo baya)?

desire, lust, avarice, burn, covet, crave, grasping, greed, inflamed

3.3.1 Kuamua, kupanga


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuamua kufanya jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuamua kufanya jambo?

kuamua, kupanga, kukusudia, kuchagua, kuazimia, kukaza nia, maarifa (ya vita), werevu, maamuzi, nia thabiti, hiari, mwenendo, mfulizo

(2) Maneno gani hutaja kile kilichoamuliwa?

decision, choice, plan, course, strategy

3.3 Kutaka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutaka jambo fulani au kutaka kufanya jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kutaka kitu?

kutaka, hamu, haja, njaa, kiu, kuonea shauku, kuhitaji, shauku, kutamani, ombi, takwa

(2) Maneno gani hutaja hali ya kutaka kufanya jambo fulani?

want to, wish you could, aspire to, feel like, hope you can, interested in, raring to, have an urge to,

(3) Maneno gani hutaja kitu ambacho mtu anakitaka?

want (n), desire (n), wish (n), longing, yearning, craving, mania, obsession,

(4) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo watu wanalitaka?

desirable,

(5) Maneno gani hutaja jambo ambalo watu hawalitaki?

unwanted, undesirable,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   42   43   44   45   46   47   48   49   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page