3.2.5.2 Kutoamini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kutokuamini jambo lolote au mtu?
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutokuamini jambo lolote au mtu?
• not believe, disbelief, unbelief, lack faith in, fail to believe, refuse to believe
(2) Maneno gani hutaja tendo la kutokuwa na uhakika kuamini au kutokuamini?
• doubt, waver, undecided
(3) Maneno gani huelezea jambo fulani or mtu fulani ambaye ni vigumu kumwamini?
• hard to believe, unbelievable, doubtful, incredible, unconvincing, disputable, untrustworthy, unfaithful, undependable, improbable, unpersuasive
3.2.5.3 Shaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na shaka--yaani kutokuwa na uhakika kama jambo fulani ni sahihi au la.
(1) Maneno gani hutumika katika kutokuwa na uhakika wa ukweli wa jambo fulani?
• doubt, doubt the truth of, have doubts, debate in your mind, be skeptical, mistrust, suspect, harbor suspicions, take with a grain of salt
(2) Maneno gani hutumika kwa mawazo ya mashaka?
• doubt, suspicion, skepticism
(3) Maneno gani humtaja mtu mwenye mashaka?
• doubter, skeptic, agnostic
(4) Maneno gani humtaja mtu ambaye una mashaka naye?
• suspicious character,
3.2.5.4.1 Kutokubali
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja wakati watu wawili hawakubaliani kuhusu jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja wakati watu wawili hawakubaliani?
• disagree, disagreement, think differently, dissent, dissenting, contest (v),
3.2.5.4.2 Kupinga
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupinga--kusema mbele ya uma kwamba hupendi jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupinga?
• protest (v), object to, remonstrate, speak out against,
(2) Maneno gani hutaja watu wengi wanapopinga?
• storm of protest, outcry against, outcry over, public outcry, boycott,
(3) Maneno gani humtaja mtu anayepinga?
• protester, demonstrator, dissident, marcher, objector,
(4) Maneno gani hutaja jambo ambalo mtu analipinga?
• protest (n), objection, remonstrance,
(5) Maneno gani hutaja tendo la watu wengi wanapinga jambo wakiwa katika kundi?
• protest, demonstrate, march, boycott, riot, in protest,
(6) Maneno gani hutaja wakati watu wengi wanapinga katika kundi?
• protest (n), demonstration, march, rally, riot, unrest, civil disobedience, peaceful demonstration, placard,
(7) Maneno gani huelezea jambo lilifanywa katika malalamiko au katika kupinga jambo?
• protest (adj),
(8) Watu hufanya nini wanapopinga jambo fulani?
• boo (v), boo (n), booing,
(9) Watu husema nini wakiwa wanapinga jambo fulani?
• Down with (someone/something)! No more (something)!
3.2.5.4 Kukubaliana na mtu
Tumia eneo la maana hili wakati watu wawili wanakubaliana jambo fulani, wanapofikiri namna moja kuhusu jambo fulani au kukubaliana katika maamuzi.
(1) Maneno gani hutaja wakati watu wawili wanakubaliana?
• agree, agreement, concur, accede, think the same, think alike, hold the same view, be of the same mind, be of like mind, like-minded, be in accord, be of one accord, be united, be in the same place, be together on something, be with someone, coincide in our thinking,
(2) Maneno gani hutaja watu wawili wanapotaka kufanya makubaliano?
• come to an agreement, come together, ratify a treaty
(3) Maneno gani hutaja hali au kitendo cha kukubali?
• agreement, like-mindedness, cooperation, unity, concord, be in congruity,
(4) Maneno gani hutaja nyaraka za makubaliano?
• written agreement, peace accord, peace treaty
(5) Maneno gani hutaja ishara inayoonyesha makubaliano?
• kushikana mikono, kubusu, kuinama
(6) Maneno gani hutaja tendo la kubadilisha mawazo yako ili kwamba ukubaliane na mtu mwingine?
• accede, accession, accept, acquiesce, acquiescence, give assent, consent, yield, grant a point,
(7) Maneno gani hutaja tendo la watu wawili kufikia mwafaka?
• compromise
(8) Maneno gani hutaja wakati watu wawili wanashindwa kukubaliana?
• disagree, disagreement, think differently, dissent, contest (v),
3.2.5.5 Falsafa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja seti (kundi) au mfumo wa imani kuhusu ukweli.
(1) Maneno gani hutaja seti au mfumo wa imani kuhusu ukweli?
• falsafa, utaratibu wa mawazo, namna ya kufikiri
(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye anajaribu kuelezea mfumo au seti ya imani au anachoamini?
• philosopher, sage
(3) Maneno gani hutaja kundi la wanafalsafa?
• Epicurean, Stoic, school (of thought)
3.2.5.6 Mtazamo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mtazamo wa mtu--namna unavyofikiri na hisia zako kuhusu jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja mapendekezo na hisia za mtu kuhusu jambo fulani?
• attitude, mentality, way of thinking, outlook, worldview
3.2.5.7 Imani iliyovuka mipaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja imani iliyovuka mipaka--yaani jambo ambalo unaliamini, ambalo watu wengi wanafikiri sio jambo zuri.
(1) Maneno gani huelezea mapendekezo na imani yenye nguvu, ambayo watu wengi wanafikiri kwamba hiyo imani na mapendekezo hayo yamevuka mipaka?
• extreme, hard-line, far-left, far-right, idealistic, out in left field
(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye anashika imani iliyovuka mipaka?
• extremist, hardliner, leftist, idealist, fanatic, zealot
3.2.5.8 Kubadili fikra zako
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kubadili fikra zako--yaani kubadilisha unachofikiri kuhusu jambo fulani, au kubadilisha mipango au maamuzi yako.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kubadilisha maamuzi?
• change plans, change your mind, rethink, have second thoughts, backtrack, U-turn
(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye yupo tayari kubadili fikra zake?
• open, open-minded
(3) Maneno gani hutaja tendo la kubadili fikra mara nyingi?
• vacillate, go back and forth between, waver
(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amekuwa akibadili fikra zake mara kwa mara?
• fickle
(5) Maneno gani hutaja tendo la kukataa kubadili fikra zako?
• stand firm, stand your ground, stick to your guns
(6) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anakataa kubadili fikra zake?
• closed, close minded, rigid, inflexible, entrenched, reactionary, diehard, intransigent, have fixed ideas, stick in the mud
Share with your friends: |