2.6.1.2 Harusi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sherehe ya harusi.
(1) Maneno gani hutaja sherehe ya harusi?
• harusi
(2) Maneno gani hutaja kufunga ndoa kwa siri?
• elope, elopement,
(3) Sehemu za harusi zinaitwaje?
• kuwapokea wageni, kuweka nadhiri ya ndoa, matangazo, tafrija
(4) Maneno gani huwataja watu wanaooana?
• mwanaharusi, bibiharusi
(5) Watu wengine wanaoshiriki harusi wanaitwaje?
• wageni, waalikwa, msindikizaji wa maharusi
(6) Maneno gani hutaja tendo la kufungisha ndoa?
• marry (the couple), perform the wedding,
(7) Maneno gani humtaja mtu anayefungisha ndoa?
• minister, justice of the peace,
(8) Nguo zinazovaliwa kwenye harusi zinaitwaje?
• nguo za harusi, gauni, shela
(9) Vitu gani hutumika kwenye harusi?
• pete ya ndoa, keki ya ndoa, fungu la maua
(10) Maneno gani hutaja wakati unaofuata kufunga kwa ndoa papo hapo?
• fungate, ukamilisho wa ndoa kwa ngono
(11) Maneno gani huwataja mume na mke baada ya harusi?
• newlyweds, honeymooner, man and wife,
(12) Maneno gani hutaja tarehe ya harusi ambayo husherehekewa kila mwaka?
• wedding anniversary,
2.6.1.3 Kutokuoa, kutokuolewa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kutokuoa au kutokuolewa.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kutokuoa wala kutokuolewa?
• kutokuoa, kutokuolewa, useja
(2) Maneno gani humtaja mwanamke asiyeolewa?
• mwanamke mseja, asiyeolewa
(3) Maneno gani humtaja mwanamume asiyeoa?
• kapera
2.6.1.4 Talaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na talaka--mwisho wa ndoa yako kwa njia za sheria.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumpa talaka mke wako au mume wako?
• get divorced, divorce (v), get a divorce, end in divorce, dissolution, dissolve,
(2) Maneno gani hutaja talaka?
• divorce (n), divorcement,
(3) Maneno gani humtaja mtu aliyepewa talaka?
• mtalaka
(4) Maneno gani humwelezea mtu aliyepewa talaka?
• divorced, estranged,
(5) Maneno gani hutaja tendo la hakimu au jaji kutangua ndoa?
• grant a divorce, annul, annulment,
(6) Maneno gani hutaja matendo ya kisheria ya kutangua ndoa?
• cheti ya talaka, mahakama ya talaka
(7) Maneno gani hutaja kumwacha mume au mke wako?
• leave (your spouse), walk out on, leave (your spouse) for another man/woman,
(8) Maneno gani hutaja kipindi ambacho mume na mke wameacha kuishi pamoja?
• separate, separation, estrange, split up, break up (a marriage), live apart,
(9) Maneno gani huonyesha ni nani anayetunza watoto?
• get custody, alimony,
2.6.1.5 Upendo wa kusisimua au kuvutia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na upendo wa kuvutia au kusisimua.
(1) Maneno gani hutaja kumpenda mtu?
• love, be in love,
(2) Maneno gani hutaja kuanza kumpenda mtu?
• fall in love, love at first sight, be swept off your feet, be interested in, fancy,
(3) Maneno gani hutaja kumpenda mtu sana?
• be madly in love, be head over heels in love, infatuated, have a crush on, be mad about, be crazy about, be besotted,
(4) Maneno gani hutaja hisia za upendo?
• love, passion, romance,
(5) Maneno gani huelezea kitu ambacho mtu husema au hufanya ikiwa anampenda mtu mwingine?
• passionate, romantic,
(6) Maneno gani humtaja mtu unayempenda?
• lovers, the one you love, the love of your life,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu pamoja na mtu unayempenda?
• date, go out with, see someone, ask out, ask someone for a date,
(8) Mtu anamwita majina gani mtu mwingine anayempenda?
• love, dear, honey, darling, dearest, sweetheart,
(9) Maneno gani hutaja matatizo kati ya watu wanaopendana?
• hurt someone, break someone's heart, grow apart, break up,
(10) Maneno gani hutaja tendo la kupendana tena baada ya kuwa na tatizo?
• make up, get back together,
2.6.1 Ndoa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya ndoa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufunga ndoa na mtu?
• marry, marriage, get married, tie the knot, get hitched, join together, unite, wed, marry into,
(2) Maneno gani hutaja hali ya ndoa?
• ndoa, kuoa, kuolewa, kuoana
(3) Maneno gani hutaja hali ya kuoana na mtu?
• be married to,
(4) Maneno gani huwataja watu ambao wameoana?
• mume na mke, wachumba, maharusi, wapenzi
(5) Maneno gani hutumika kuelezea uhusiano katika mume na mke?
• kuoana, upendo, kupendana, kumjali mpenzi
(6) Maneno gani hutaja tendo la kuoana tena baada ya kufiwa au kuachika?
• remarry, remarriage,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kuoa zaidi ya mke mmoja (au kuolewa zaidi ya mume mmoja)?
• bigamy, bigamist, bigamous, concubinage, concubine, harem, polygamist, polygamous, polygamy,
(8) Maneno gani hutaja tendo la kuoa mtu mmoja tu?
• monogamous, monogamy,
(9) Maneno gani hutaja tendo la kuoa mtu kutoka katika kabila lingine au taifa lingine?
• inter-racial marriage, miscegenation,
(10) Maneno gani hutaja tendo la kuishi na mtu ambaye hamjaoana?
• live with, cohabit, cohabitation, common-law marriage,
(11) Maneno gani hutaja tendo la kuoa au kuolewa na ndugu wa karibu?
• incest, intermarry,
(12) Maneno gani hutaja tendo la kuoa mjane wa mdogo wako?
• levirate marriage
(13) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na ndoa?
• married, marital, matrimonial, conjugal, nuptial, connubial,
Share with your friends: |