Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi


Page 3.4.2.1.1 Kutokupenda



Download 2.8 Mb.
Page55/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   51   52   53   54   55   56   57   58   ...   206

Page

3.4.2.1.1 Kutokupenda


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na jinsi mtu anavyojisikia pale anapokuwa hapendezwi na mtu au kitu.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kutokupenda jambo fulani au kitu fulani?

don't like, dislike (v), take a disliking to, take an instant dislike to, have a healthy dislike for, not be fond of, not keen on, not be crazy about, not think much of, not be someone's cup of tea, not be to your taste, not be to your liking, not be your thing, not be your type, have no time for, not take kindly to, don't care for, look down on, turn up your nose at, be unhappy with, hold in disfavor, feel unfavorable toward, be displeased with,

(2) Maneno gani hutaja hisia za kutokupenda?

dislike (n), disliking, antipathy, aversion, displeasure, distaste, prejudice,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hapendi jambo fulani au kitu fulani?

displeased, offended, prejudiced,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kutokupenda jambo fulani?

displease, offend, repel, trouble, upset, put someone off, turn someone against,

(5) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kutokupenda jambo fulani au kitu fulani?

offense,

(6) Maneno gani huelezea jambo ambalo watu hawalipendi?

contemptible, deplorable, despicable, displeasing, distasteful, obnoxious, odious, offensive, unpleasant, not very nice, leave a bad taste in the mouth, morbid,

(7) Maneno gani humwelezea mtu ambaye watu hawampendi?

disliked, bastard, disagreeable, horrible, mean, nasty, nasty piece of work, not very nice, objectionable, obnoxious, odious, off-putting, unpleasant,

(8) Maneno gani huelezea ladha au harufu ambayo watu hawaipendi?

unpleasant, not very nice, nasty, unappetizing, unpalatable,

(9) Maneno gani huelezea sauti ambayo watu hawaipendi?

harsh, grating, rasping,

(10) Maneno gani hutaja hali ya kuacha kukipenda kitu fulani au jambo fulani?

go off,

(11) Watu hufanya nini kuonyesha kwamba hawapendi jambo fulani au kitu fulani?

sneer, boo,

3.4.2.1.2 Kuchukia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kumchukia mtu au jambo fulani--yaani kutokumpenda mtu au jambo fulani kabisa.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia chuki?

hate, abhor, have an abhorrence, abominate, deplore, despise, detest, loathe, have a loathing for, look down on, odium, feel unfriendly toward,

(2) Maneno gani hutaja hisia za chuki?

hate, hating, hatred, abhorrence, aversion, loathing, repugnance, repulsion,

(3) Maneno gani humwelezea mtu anayejisikia chuki?

hateful,

(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anachukiwa?

hated, despised, detested, loathed, odious, resented,

(5) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kujisikia chuki?

hateful, abominable, deplorable, despicable, detestable, execrable, reprehensible,

3.4.2.1.3 Kinyaa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hisia za kujisikia kinyaa--yaani kutokupenda jambo fulani kupita kiasi.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia kinyaa na jambo fulani au kitu fulani?

be disgusted, execrate, feel awful, feel revolted, feel sick, shudder at the thought, shudder to think, turn away in disgust, be disgusted, be grossed out, can't stand, can't bear,

(2) Maneno gani hutaja hisia za kinyaa?

disgust, abhorrence, detestation, loathing, nausea, revulsion,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia kinyaa?

disgusted, grossed out, nauseated, revolted, sickened,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kujisikia kinyaa?

disgust, gross out, nauseate, revolt, sicken, turn your stomach,

(5) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujisikia kinyaa?

abomination, execration,

(6) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kujisikia kinyaa?

disgusting, abhorrent, abominable, awful, detestable, foul, gross, loathsome, nasty, nauseating, repugnant, repulsive, revolting, sick, sickening,

3.4.2.1.4 Kuvunjwa matumaini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kujisikia kukatishwa matumaini--yaani kujisikia vibaya kwa sababu jambo fulani halijatokea au halijafanyika kama ulivyotegemea au mtu fulani hajafanya jambo fulani kama ulivyotaka afanye.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia kuvunjwa matumaini?

be disappointed, feel let down, feel blue, feel forlorn, not realize your hopes, have your hopes dashed, your heart sank, look blue,

(2) Maneno gani hutaja hisia za kuvunjwa matumaini?

disappointment, frustration, letdown, bitter pill to swallow, forlorn hope, unfulfilled hopes,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia kuvunjwa matumaini?

disappointed, crushed, disconcerted, discouraged, deflated, disillusioned, disenchanted, dispirited, frustrated,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia kuvunjwa matumaini sana?

crushed, bitterly disappointed,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kujisikia kuvunjwa matumaini?

disappoint, dash someone's hopes, demoralize, devastate, discourage, dishearten, disillusion, dissatisfy, jilt, let someone down, frustrate,

(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujisikia kuvunjwa matumaini?

disappointment, anticlimax, bitter pill to swallow, blow, letdown, discouragement, frustration,

(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kujisikia kuvunjwa matumaini?

disappointing, be a disappointment, be an anticlimax, be a letdown, not live up to expectations, not all it's cracked up to be, discouraging, disheartening, frustrating, not up to par,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   51   52   53   54   55   56   57   58   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page