Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page63/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   59   60   61   62   63   64   65   66   ...   206

3.5.1.4.3 Kusalimu


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumsalimia mtu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumsalimia mtu?

greet, say hello

(2) Maneno gani huelezea salamu?

greet warmly, warm greeting, cool reception, enthusiastic greeting

(3) Ishara zipi kwa kawaida zinaendana na salamu?

shake hands, bow, salute, give a hug, give a kiss, wave hello

(4) Maneno gani hutaja tendo la kukataa kumsalimia mtu?

refuse to greet, snub, ignore

(5) Maneno gani na usemi gani hutumika wakati wa kumsalimia mtu?


3.5.1.4.4 Kuaga


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuaga.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusema kwa heri au kuaga?

say farewell, say goodbye

(2) Maneno gani na usemi gani hutumika wakati wa kuaga?

Kwa heri. Tutaonana.

3.5.1.4.5 Kusema kwa sauti ya pamoja


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuzungumza kwa sauti ya pamoja--yaani kusema jambo kwa wakati mmoja kama watu wengine.

(1) Maneno gani humtaja mtu akizungumza kwa wakati mmoja kama watu wengine?

interrupt, talk at the same time

(2) Maneno gani huwataja watu wengi wanaposema kwa pamoja?

kusema kwa pamoja

3.5.1.4 Kuzungumza na wengine


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuzungumza na watu wengine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya mazungumza na watu wengine?

speak with, converse, carry on a conversation, talk with, talk to, chat, discuss

(2) Maneno gani hutaja tukio au muda wakati watu wakizungumza kila mmoja mmoja?

conversation, discussion

(3) Maneno gani hutaja kile kilichozungumzwa?

topic (of conversation)

(4) Maneno gani huelezea muda wa mazungumzo?

mazungumzo marefu

3.5.1.5.1 Kujibu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kujibu swali.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujibu swali?

answer, give an answer, reply, get back to, respond, acknowledge

(2) Maneno gani hutaja kilichosemwa katika jibu?

answer, response, reply, acknowledgment, rebuttal, rejoinder, return, echo, feedback, immediate response, answer by return mail

(3) Maneno gani hutaja jibu la kuchekesha?

snappy comeback, retort, repartee

(4) Maneno gani huelezea jibu?

carefully worded, careful, well thought through, off the cuff, off hand, wise, stupid, thoughtless, foolish

(5) Maneno gani hutaja muda unaotumika katika kujibu?

take a long time to answer, take your time to answer, quick reply, response time

(6) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na jibu au kutojua jibu?

kutokujua

3.5.1.5.2 Kufichua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo yanataja tendo la kufichua au kuweka wazi taarifa zisizojulikana.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kugundua taarifa?

discover, uncover, detect, find out

(2) Maneno gani hutaja tendo la kufichua au kufunua taarifa au habari?

kufichua, kutoa siri, kufunua, kutoboa habari, kuarifu

(3) Maneno gani huelezea jambo ambalo halijafichika?

open, openly, in the open, for all to see

3.5.1.5.3 Kuficha mawazo yako


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuficha mawazo yako.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuficha taarifa?

hide, not show, conceal, keep secret, cover up, suppress, repress, disguise, mask, put on a brave face, bottle something up, be non-committal, sweep something under the rug, cover your tracks

(2) Maneno gani huelezea jambo ambalo limefichwa au la siri?

cover-up, whitewash, hidden, suppressed, repressed, disguised, veiled, secret, secrecy

(3) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika kwa kuficha jambo fulani?

cover, front, smokescreen, blind

3.5.1.5 Kuuliza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuuliza swali.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusema kitu fulani ili kupata taarifa?

swali, kuuliza, kuhoji, mahojiano

(2) Maneno gani hutaja kile kilichosemwa?

question, inquiry, interrogation, interview

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye huuliza maswali mengi?

inquisitive, curious

3.5.1.6.1 Kuonyesha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuonyesha jambo fulani--yaani kufanya jambo fulani linoloonyesha ukweli wa kauli au linaloonyesha jinsi ya kufanya jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha jambo fulani?

kuonyesha

(2) Maneno gani hutaja tukio unapoonyesha jambo fulani?

demonstration,

3.5.1.6.2 Kugombana


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kugombana--yaani kugombana au kukorofishana kwa maneno.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kugombana?

ugomvi, mabishano, kutoelewana

(2) Maneno gani hutaja ugomvi baina ya watu?

ugomvi, ubishi, kutokubaliana, kushindana na, kutafuta kosa kwa (fulani)

(3) Maneno gani hutaja jambo ambalo mtu analisema katika ugomvi?

argument, argumentation, angry words, disputation,

(4) Maneno gani hutaja jambo ambalo watu wanagombania?

bone of contention,

(5) Maneno gani humwelezea mtu anayegombana mara kwa mara?

mgomvi, mshindani, mtu wa kubishana

3.5.1.6 Mdahalo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mdahalo--yaani mazungumzo ya watu wawili au zaidi wanaojadiliana jambo fulani na kujaribu kumshawishi mwingine akubali.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujadiliana na mtu fulani?

mdahalo, mjadala, kubishana, mjadiliano, kujadiliana

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusema jambo kwa kujibu jambo ambalo mtu fulani amesema?

reply, contradict, say in rebuttal, rebuttal, refute, rejoinder



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   59   60   61   62   63   64   65   66   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page