Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page65/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   61   62   63   64   65   66   67   68   ...   206

3.5.1.8.4 Kupiga porojo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuumbea--yaani kusema jambo baya kuhusu mtu fulani ambaye hayupo pamoja nawe.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupiga porojo?

kupiga porojo, kuteta, kubwabwaja, kuhadithia uwongo, kueneza taarifa mbaya

(2) Maneno gani hutaja kile kinachosemwa katika porojo?

porojo, uvumi, taarifa ya uwongo, tetesi, umbea, udakuzi, neno la aibu

(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye hunena porojo?

mdadisi, mpekuzi, mwongo, mpiga mdomo, mdaku, mdakizi, anayedadisika

(4) Uvumi na porojo hufanya nini?

kueneza, kuelea, kuzunguka, kuvumisha mambo

3.5.1.8.5 Kulalamika


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kulalamika--yaani kusema kwamba hupendi jambo au kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kulalamika?

complain, beef, blame, fuss, grouch, grouse, growl, murmur, mutter, object, protest, squawk, wail, yap, make a complaint, lodge a complaint, file a complaint, take it up with, take the matter up with, make a fuss, kick up a fuss, air your grievances, yammer,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kulalamika muda wote?

bitch, gripe (v), grumble, moan, nag (v), whine, go on about,

(3) Maneno gani humtaja mtu anayelalamika?

complainer, fusspot, grumbler, misery, nag (n),

(4) Maneno gani humwelezea mtu anayelalamika?

complaining, fretful, querulous,

(5) Maneno gani hutaja kitu ambacho mtu husema akiwa analalamika?

complaint, complaining, grumbling, protest, whining,

(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo mtu analilalamikia?

complaint, grievance, gripe, grumble, objection, cause for complaint,

(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo mtu analisema wakati akiwa analalamika?

plaintive, whiny

3.5.1.8 Kukosoa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumkosoa mtu au jambo fulani--yaani kusema kwamba jambo fulani ni baya, hasa jambo ambalo mtu fulani amelifanya.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumkosoa mtu fulani au kitu fulani?

kukosoa, kulaumu, kudadisi kwa kupima, kutafuta kosa, lawama, kashifu

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumkosoa kwa nguvu mtu au jambo fulani?

slam, pan, tear to shreds, pillory, do a hatchet job on, blast, castigate, condemn, damn, excoriate, execrate,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kumkosoa mtu kwa namna isiyo nzuri au isiyo haki?

find fault with, pick holes in, knock, run down, denigrate, put down, get at,

(4) Maneno gani hutaja jambo ambalo mtu analisema anapokosoa?

criticism, critique (n), accusation, attack (n), belittlement, castigation, censure, charge, condemnation, denigration, denouncement, denunciation, deprecation, derision, disapproval, disparagement, excoriation, execration, faultfinding, gibe (n), harangue (n), judgment, malediction, put-down, recrimination, reprehension, ridicule (n), slur,

(5) Maneno gani huelezea jambo ambalo mtu analisema akiwa anakosoa?

critical (remark/essay), belittling, deprecatory, disparaging, scathing,

(6) Maneno gani humtaja mtu ambaye kila mara huwakosoa watu wengine?

critic,

(7) Maneno gani humwelezea mtu ambaye kila mara huwakosoa watu wengine?

critical, captious, censorious, hypercritical, judgmental,

(8) Maneno gani hutaja tendo la kukosolowa na mtu mwingine?

receive criticism, come in for criticism, be under attack, come under attack, get a lot of flak, take a lot of flak, be open to criticism,

(9) Maneno gani humtaja mtu anayekosolewa?

target,

(10) Maneno gani hutaja tendo la kutokumkosoa mtu?

don't blame, can't blame,

3.5.1.9 Kuahidi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuahidi kufanya jambo fulani--yaani kusema kwamba utafanya jambo fulani hapo baadaye au siku zijazo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuahidi kufanya jambo fulani?

promise, agree, commit, guarantee, assure, swear,

(2) Maneno gani hutaja jambo ambalo mtu ameahidi kulifanya?

promise (n), commitment, assurance, guarantee, pledge, plight, troth, word

(3) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo ambalo uliahidi kulifanya?

keep, fulfill, make good,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kutokufanya kile ulichoahidi kufanya?

break, renege on, go back on promise,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kumwomba mtu kufanya kile alichoahidi?

hold you to your promise,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kumruhusu mtu kutokufanya kile alichoahidi?

release someone from a promise,

Page

3.5.2.1 Kusimulia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutoa taarifa juu ya jambo fulani--yaani kusama kwamba jambo fulani limetokea na kulielezea.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutoa taarifa kuhusu jambo ambalo limetokea?

to report, give a report, give an account, broadcast, claim

(2) Maneno gani hutaja ujumbe unaosimuliwa?

ripoti

3.5.2.2 Habari, ujumbe


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo ambalo mtu analisema na linatoa taarifa kutoka kwa mtu mwingine, au kuhusu jambo ambalo mtu mwingine amelifanya.

(1) Maneno gani hutaja kitu fulani kinachosemwa na mtu fulani?

habari, ujumbe

(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye anampelekea ujumbe mtu mwingine?

messenger

3.5.2.3 Tamathali za usemi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tamathali ya usemi--yaani kusema jambo fulani ambalo lisieleweke kama kawaida (yaani neno kwa neno), au kusema jambo fulani ambalo linalinganisha kitu kimoja na kingine.

(1) Maneno gani hutaja tamathali za usemi?

figurative, not literal, metaphorical, figure of speech, colorful language

(2) Maneno gani hutaja tamathali maalumu za usemi?

nahau, tashbiha, sitiari



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   61   62   63   64   65   66   67   68   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page