3.4.2.2.1 Kuwa na aibu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kujisikia aibu--yaani kujisikia vibaya kwa sababu watu wanafikiri umefanya jambo baya.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia aibu?
• be shamed, be ashamed, feel ashamed, feel disgraced, can't look someone in the face, lose face,
(2) Maneno gani hutaja hisia za aibu?
• shame (n), disgrace (n), humiliation, embarrassment, stigma, indignity,
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia aibu?
• ashamed, disgraced, embarrassed, shamefaced,
(4) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia aibu sana?
• humiliated,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu fulani kujisikia aibu?
• shame (someone), abash, discredit, disgrace, dishonor, humiliate, reproach, bring shame on, sully, tarnish,
(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujisikia aibu?
• disgrace, dishonor, indignity, scandal,
(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kujisikia aibu?
• shameful, degrading, disgraceful, dishonorable, humiliating, ignominious, opprobrious, scandalous,
(8) Watu hufanya nini kuonyesha kwamba wanaona aibu?
• hang head, cower in shame, cringe,
(9) Maneno gani hutaja hali ya kutokujisikia aibu?
• shameless, brazen, callous, shameless, unabashed, unashamed,
3.4.2.2.2 Kuaibishwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kujisikia kuaibishwa--yaani kujisikia vibaya mbele za watu wengine kwa sababu umefanya au umesema jambo ambalo linafanya uonekane kama mpuuzi.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia kuaibishwa?
• be embarrassed, feel embarrassed, squirm, I could have died, I almost died
(2) Maneno gani hutaja hisia za kuaibishwa?
• embarrassment,
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia kuaibishwa?
• embarrassed, self-conscious, uncomfortable, awkward, sheepish,
(4) Maneno gani hutaja hisia za kuaibishwa sana?
• mortified, never felt so embarrassed in my whole life,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kujisikia kuaibishwa?
• embarrass (someone), cause embarrassment, be an embarrassment, mortify,
(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujisikia kuaibishwa?
• embarrassment,
(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kujisikia kuaibishwa?
• embarrassing,
(8) Maneno gani hutaja tendo la kuwa mwekundu usoni kwa sababu ya kuaibishwa?
• blush, turn red,
3.4.2.2 Samahani
Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuhisi huzuni kwa ajili ya kosa--yaani kujisikia vibaya kuhusu jambo baya ambalo umetenda.
(1) Maneno gani hutaja hisia za huzuni kwa ajili ya kufanya kosa?
• feel sorry, be sorry, regret, feel remorse, feel convicted, conscience stricken, feel guilty, lament, rue, rue the day, ruefully, wish you hadn't done something, kick yourself, repent, be ashamed, feel ashamed, have a bad conscience, have a guilty conscience, be on your conscience, feel bad about,
(2) Maneno gani hutaja hali ya kuhisi huzuni kwa ajili ya kufanya kosa?
• kuhisi masikitiko, kuwa na masikitiko, kujuta, kuhisi huzuni ya toba, huzuni, majuto, huzuni ya toba
(3) Maneno gani humwelezea mtu anayehisi huzuni kwa ajili ya kufanya kosa?
• sorry, penitent, regretful, remorseful, rueful, convicted, guilty, contrite, repentant,
(4) Maneno gani hutaja hisia kali za aibu?
• guilt-ridden,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kujisikia huzuni kwa muda mrefu?
• gnaw at you,
(6) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kujisikia huzuni?
• convict,
(7) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujisikia huzuni?
• conscience, conviction
(8) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kujisikia huzuni?
• convicting,
(9) Watu husemaje wanapojisikia huzuni kwa ajili ya kufanya kosa?
• why did I, why didn't I, I could have kicked myself,
(10) Maneno gani hutaja hali ya kutokujisikia huzuni?
• impenitent, not regret, not be sorry, have no regrets, would do the same thing again, remorseless, unrepentant, not feel guilty, a clear conscience, have no qualms about, have no compunction, feel no compunction
(11) Maneno gani hutaja tendo la kujitahidi wewe mwenyewe kuacha kujisikia huzuni?
• salve your conscience, clear your conscience,
3.4.2.3.1 Kukerwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hisia za kukerwa--yaani kujisikia hasira kidogo kwa sababu mtu anafanya kila mara jambo ambalo hulipendi.
(1) Maneno gani hutaja kujisikia kukerwa?
• be annoyed, feel annoyed, be fed up, be tired of, be sick of, have had enough of, have had it, have had it up to here, be at the end of your tether,
(2) Maneno gani hutaja hisia za kukerwa?
• annoyance, exasperation, frustration, irritation,
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amekerwa?
• annoyed, frustrated, hacked off, irritated, jaded, ticked off,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kukerwa sana?
• exasperated,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kukerwa?
• annoy, antagonize, bug, exacerbate, exasperate, frustrate, gall, harass, hassle, irritate, nag, needle, nettle, pester, piss someone off, much to my annoyance, it ticks me off, it hacks me off, get on your nerves, get under your skin, drive you crazy, drive you nuts, drive you up the wall,
(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kukerwa?
• annoyance, exasperation, frustration, irritation, nuisance, pain in the neck, pain in the ass, pain in the butt, pest,
(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kukerwa?
• annoying, exasperating, frustrating, irritating, galling, nettlesome, stupid, bloody, be a drag,
Share with your friends: |