3.1 Nafsi, roho
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayohusiana na roho au nafsi ya mtu--yaani sehemu ya mtu isiyoonekana (na siyo mwili wake).
(1) Maneno gani hutaja sehemu ya mtu isiyoonekana?
• soul, spirit, spiritual, psyche, psychological, psychology, internal makeup, inside, inward, conscious self, consciousness, ego, essence, humanity, id, self, subconscious, superego, unconscious,
(2) Maneno gani hutaja sehemu ya mtu ambayo inahusika na kufikiri na kujua?
• mind, intellect, mental faculty, reason, reasoning, sense, thinking, thought, thoughts,
(3) Maneno gani hutaja sehemu ya mtu ambayo inahusika na kutaka na kuamua?
• will, volition
(4) Maneno gani hutaja sehemu za mtu ambazo zinahusika na hisia?
• heart, breast, emotions, emotional makeup, feeling, feelings, sensitivity, gut,
(5) Maneno gani hutaja sehemu za mtu ambazo huathiri tabia au mwenendo wake?
• personality, character, conscience, disposition, nature, tendency,
Page 3.2.1.1 Kufikiri kuhusu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kufikiri kuhusu kitu fulani kwa muda fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufikiri kuhusu kitu fulani kwa muda fulani?
• think about, brood, cogitate, consider, give consideration to, contemplate, meditate, muse, mull over, occupy your mind, ponder, reconsider, reflect, reflection, ruminate, speculate, study, weigh, wonder, go around in your mind, do some thinking, keep your mind on, have something on your mind, deduce, deduction, induction, inductive, logic, apply yourself, pay attention, bethink, conclude, observe, process, reason, theorize,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kufikiri kwa umakini?
• attend, attention, beware, careful, caution, cautious, concentrate, concentration, concern, concerned, consider, consideration, foresight, guard, intentional, interest, occupy, precaution, provident, prudent, purposeful, refuse, regard, tend, think thoroughly, give thought, thoughtful, think hard,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kutokufiriki kwa umakini?
• careless, casual, dismiss, disregard, incautious, neglect, overlook, shrug, wing it
(4) Maneno gani hutaja tendo la kufikiri kuhusu nini ni kizuri kwa mtu?
• be concerned about, care about
(5) Maneno gani hutaja tendo la kufikiri kabla ya kufanya maamuzi?
• think about, look at, think over, consider, think something out, think twice, think of, take into consideration, take into account,
(6) Maneno gani hutaja mfuatano au mfululizo wa mawazo?
• line of thought, line of thinking, train of thought, reasoning,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kufikiri kuhusu kitu fulani tena?
• think again, reconsider, change your mind, on second thought, on reflection
(8) Maneno gani hutaja mawazo ya mtu katika muda maalumu au muda pekee fulani?
• thinking,
(9) Maneno gani hutaja tendo la kufikiri kuhusu vitu vingi?
• mind is full
(10) Maneno gani hutaja namna ambayo mtu anafikiri kuhusu kitu fulani?
• attitude, logic, outlook, perspective, thoughtful, view
(11) Maneno gani huelezea namna ambavyo mtu anafikiri?
• clear, cogent, concise, observant,
(12) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu kutokufikiri kuhusu kitu fulani?
• ignore, try to forget, put out of your mind, empty your mind
(13) Maneno gani hutaja tendo la kuacha kufikiri kuhusu kitu fulani?
• drop (a line of thought), distract, distraction, take your mind off
(14) Maneno gani hutaja tendo la kushindwa kufikiri kuhusu kitu unachofanya?
• unthinking, unintentional, thoughtless, mindless
(15) Maneno gani humtaja mtu anayefikiri sana?
• thinker, brain, intellectual, philosopher,
3.2.1.2 Kuwazia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwazia vitu--yaani kufikiri kuhusu vitu fulani ambavyo havipo, au kufikiri kuhusu vitu fulani ambavyo havijawahi kutokea.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuwazia vitu (yaani kufikiri kuhusu vitu fulani ambavyo havipo)?
• imagine, conceive of, dream up, envisage, hypothesize, invent, picture (in your mind), form a picture, make up, see, suppose, think of, think up, visualize,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuwazia kitu ambacho unataka kukifanya?
• daydream (v), dream about, dream of, fantasize, live in a fantasy world,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuwazia vitu ambavyo havipo au havionekani?
• imagine, be in the mind, be in your mind, be seeing things, hallucinate,
(4) Maneno gani hutaja uwezo wa kuwaza au kufikiri kuhusu vitu ambavyo havipo?
• imagination, vivid imagination, fertile imagination, creativity, inventiveness, vision,
(5) Maneno gani humtaja mtu anayewaza au kufikiri kuhusu vitu ambavyo havipo?
• creative genius, dreamer, visionary,
(6) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anawaza au kufikiri kuhusu vitu ambavyo havipo?
• imaginative, creative (person),
(7) Maneno gani hutaja kitu ambacho mtu anawaza au kufikiria?
• image, conception, conceptualization, creation, daydream (n), dream, fancy, flight of fancy, fantasy, fiction, figment of your imagination, hallucination, hypothesis, invention, make believe, picture, unreality, vision, visualization,
(8) Maneno gani huelezea kitu fulani ambacho mtu amefikiri (lakini kitu hicho hakipo)?
• imaginary, abstract, conceptual, creative (thought), fanciful, fictional, hypothetical, unreal, nonexistent, doesn't exist,
(9) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hawazii au kufikiria vitu ambavyo havipo?
• unimaginative, uncreative,
(10) Maneno gani huelezea kitu ambacho hakiwezi kufikirika?
• unimaginable, inconceivable,
Share with your friends: |