Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page51/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   47   48   49   50   51   52   53   54   ...   206

3.4.1.1.6 Kutosheka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutosheka.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia vizuri kuhusu hali zako zilizoko?

kutosheka, kuridhika, kufurahi, kuwa na furaha

(2) Maneno gani huelezea wakati mtu anapokuwa na hisia mbaya kuhusu hali yake?

discontent, discontented, dissatisfied, dissatisfaction, discontent,

(3) Maneno gani hutaja hali ya kutokuridhika?

be displeased with, be unhappy with, not happy, dissatisfied, discontented, disgruntled,

3.4.1.1.7 Kufurahia juu ya mtu fulani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kufurahia juu ya mtu fulani--yaani kujisikia hisia za furaha juu ya baraka za mtu mwingine. Kinyume chake ni wivu na kijicho.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia vizuri kuhusu baraka za mtu fulani?

kuwa na furaha kwa ajili ya, kushangilia juu ya

(2) Maneno gani hutaja udhihirisho wa furaha yako juu ya baraka za mwingine?

makofi ya sifa, kutoa pongezi

3.4.1.1.8 Kupendezwa na mtu fulani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kupendezwa na mtu fulani--yaani kujisikia vizuri kwa sababu mtu fulani amefanya jambo zuri.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kupendezwa na mtu fulani?

kupendezwa na, kumfurahia

3.4.1.1 Kupenda


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na jinsi mtu anavyojisikia anapopenda kitu au mtu.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kupenda jambo fulani au kitu fulani?

like, have a liking for, adore, enjoy, be fond of, proud of someone, fancy something, have a fancy for, take a fancy to, care for, have affection for, admire, look up to, think highly of, approve, pleased, admire, appeals to you, be to your liking, go down well, savor (v), luxuriate, be happy with, feel good toward, feel good about,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kumpenda mtu?

like, be fond of, be attached to, have a soft spot for, see something in someone, a man/woman after your own heart

(3) Maneno gani hutaja hisia za kupenda jambo fulani au kitu fulani?

liking, admiration, adoration, affection, approval, enjoyment, fondness for, pleasure, pride, affinity,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kukipenda sana kitu fulani au jambo fulani?

love, adore, delight, enthusiastic about, enthusiasm for, be mad about, be crazy about, be attached to, have a passion for

(5) Maneno gani huelezea kitu kinachopendwa?

chenye ladha nzuri, kuapendezwa, kipendwa

(6) Maneno gani humtaja mtu anayependa jambo fulani au kitu fulani?

admirer, fan, (art)-lover, lover of, enthusiast, devotee

(7) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anapenda jambo fulani au kitu fulani?

adoring, affectionate,

(8) Maneno gani hutaja hali ya kupenda jambo au kitu fulani na kutaka kuwa nacho?

aspire, hanker for, have a hankering for, long for, relish (n), relish (v), covet, crave, desire (v), desire (n), fancy (v), pine for, want (v), yearn,

(9) Maneno gani hutaja jambo linaposababisha mtu kumpenda mtu au kitu?

beguile, bewitch, charm, dazzle, delight, enchant, enthrall, fascinate, gladden, gratify, impress, please, thrill, tickle, wow,

(10) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kumpenda mtu au kitu?

charm, enchantress,

(11) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo husababisha mtu kumpenda mtu au kitu?

beguiling, bewitching, charming, dazzling, delightful, enchanting, enthralling, fascinating, gratifying, impressive, pleasing, thrilling,

3.4.1.2.1 Kupumzika


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kujisikia kupumzika--yaani kujisikia vizuri wakati hufanyi kazi na hakuna jambo baya linalotokea.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia kupumzika?

relax, rest, unbend, unwind, feel at home, feel at ease, be at ease, take it easy, take things easy, make yourself at home, loosen up, let your hair down, let yourself go,

(2) Maneno gani hutaja hisia za kupumzika?

relaxation, comfort,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia kupumzika?

relaxed, at ease, calm, comfortable, laid-back, uninhibited

(4) Maneno gani hutaja hali ya kusababisha mtu kujisikia kupumzika?

relax someone, put someone at ease, make someone feel at home,

(5) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujisikia kupumzika?

sedative, relaxant,

(6) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kujisikia kupumzika?

relaxing,

3.4.1.2.2 Utulivu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kujisikia au kuwa na hisia za utulivu.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia utulivu?

feel calm, be at peace,

(2) Maneno gani hutaja hisia za utulivu?

calm (n), composure, presence of mind, equanimity, peace, placidity, poise, repose, serenity, tranquility,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia utulivu?

calm (adj), calmly, collected, composed, cool, dispassionate, peaceful, phlegmatic, quiescent, sedate, serene, staid, steady, tranquil, unruffled, not fazed,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kusababisha mtu kujisikia utulivu?

calm someone, calm someone down, soothe,

(5) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujisikia utulivu?

calming influence, tranquilizer,

(6) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kujisikia utulivu?

calming,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kukaa katika hali ya utulivu wakati wa hali ya ugumu au katika hali ya matatizo?

keep your cool, keep your head, keep a stiff upper lip, maintain your composure, imperturbable, untroubled,

(8) Maneno gani humwelezea mtu ambaye kila wakati ni mtulivu?

placid, even-tempered, laid-back

(9) Maneno gani huelezea mahali pa utulivu?

calm, quiet, peaceful

(10) Maneno gani hutaja hali ya kuanza kuwa na utulivu?

calm down, cool down, cool off, compose yourself, steady your nerves, relax, quiet down,

(11) Unasemaje kwa mtu unapotaka awe na utulivu?

Cool it. Take it easy. Calm down.



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   47   48   49   50   51   52   53   54   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page