Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page169/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   165   166   167   168   169   170   171   172   ...   206

8.2.6.5 Urefu wa kwenda chini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa na kina cha urefu fulani - yaani, urefu wa kitu (kama shimo) unaoenda chini ya ardhi au uso wa kitu fulani, au umbali wa kitu fulani kilichopo chini ya uso wa maji.

(1) Maneno gani hutaja urefu wa kwenda chini?

ndefu kwenda chini, kina, uketo, lindi

(2) Maneno gani huelezea urefu wa kwenda chini sana?

bottomless,

(3) Maneno gani huelezea urefu wa kwenda chini kwa mtu fulani?

knee-deep, waist-deep, over your head, out of your depth,

(4) Maneno gani hutaja sehemu yenye kina kikubwa?

the depths, channel, trench, gulf, abyss,

(5) Maneno gani hutaja kitu kikisababishwa kuwa na urefu wa kwenda chini?

deepen, get deeper,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe na urefu wa kwenda chini?

deepen, dredge, dig out,

(7) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na urefu wa kwenda chini mkubwa zaidi kuliko kingine?

deeper, deepest,

(8) Maneno gani hutaja urefu wa kwenda chini wa kitu fulani?

depth,

(9) Maneno gani huonyesha urefu wa kwenda chini wa kitu fulani?

how deep, be (ten feet) deep, (ten feet) in depth, at a depth of (ten feet), plunge (ten feet),

(10) Maneno gani hutaja tendo la kupima urefu wa kwenda chini?

take a sounding, plumb,

(11) Zana gani hutumika kwa kupima urefu wa kwenda chini?

plumb line,

(12) Maneno gani hutaja kizio cha urefu wa kwenda chini?

fathom,

(13) Maneno gani huelezea kitu kilicho na urefu wa kwenda chini mdogo?

shallow, not deep, skin-deep, superficial, surface,

(14) Maneno gani hutaja sehemu yenye kina kidogo?

shallows, shoal,

8.2.6 Umbali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na umbali uliopo baina ya vitu viwili.

(1) Maneno gani hutaja umbali baina ya vitu viwili?

distance, how far, span, as the crow flies,

(2) Maneno gani huonyesha umbali baina ya sehemu mbili?

from, away, off, apart, away from

(3) Maneno gani hutaja umbali uliopo kwenye uwezo wa kitu fulani kufika?

range, reach (n), extent,

(4) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani (k.m., eneo au barabara) kinaendelea kwa umbali fulani?

extend, stretch, go on, continue, spread

(5) Maneno ya maswali yapi huuliza umbali baina ya vitu viwili?


8.2.7.1 Kukaza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kukaza -- yaani, kitu kikiwa kidogo sana.

(1) Maneno gani huelezea kitu kinachokazwa?

tight, too small

(2) Maneno gani huelezea kitu kuanza kukazwa?

kukazwa

(3) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kikazwe?

kukaza, kubanza

8.2.7.2 Kulegea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kulegea -- yaani, kitu kikiwa kikubwa sana.

(1) Maneno gani huelezea kitu kinacholegea?

loose, too big

(2) Maneno gani hutaja kitu kikianza kulegea?

come loose

(3) Maneno gani hutaja tendo la kulegeza?

loosen

8.2.7.3 Kukwama


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kukwama au kunasa shimoni.

(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimekwama?

kukwama, kubanika

8.2.7 Kukaa vizuri, saizi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kitu kukaa vizuri -- yaani, kitu kisicho kikubwa sana wala kidogo sana, kimefaa kabisa tu.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kitu kukaa vizuri?

fit, dovetail, go in, go on,

(2) Maneno gani huelezea kitu kinachokaa vizuri?

be the right size, dovetailed, a good fit,

(3) Maneno gani hutaja saizi ya kitu fulani?

size, fit (n),

(4) Maneno gani hutaja tendo la kubadilisha saizi ya kitu fulani ili kikae vizuri?

fit something to something, resize,

8.2.8 Kupima


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupima kitu fulani -- yaani, kugundua ukubwa, urefu, uzito, au kiasi ya kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupima kitu?

kupima, kukadiria, kutathmini

(2) Maneno ganihutaja ukubwa au kiasi ya kitu fulani?

capacity, dimension, distance, extent, length, measure, portion, quantity, size, volume,

(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho inawezekana kukipima?

measurable, quantifiable,

(4) Maneno gani hutaja idadi au kiasi inayopatikana unapopima kitu fulani?

measurement, reading,

(5) Maneno gani ya kawaida hutaja kizio cha kipimo, kwa jumla?

unit, measure, standard, scale, benchmark,

(6) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kina ukubwa au kiasi fulani?

is, measure (v), weigh, how big, of

(7) Zana gani hutumika kwa kupima kitu fulani?

abacus, almanac, beam, calendar, caliper, chain, chronometer, clock, compass, dial, gauge, instrument, level, line, micrometer, plumb, protractor, quadrant, rod, rule, ruler, sextant, square, straightedge, tape, tapeline, thermometer, watch, yardstick,

(8) Maneno gani hutaja kiasi ambayo haiwezekani kuipima?

immeasurable, measureless, incalculable, unfathomable, unmeasured, untold,

8.2.9.1 Nzito


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa nzito.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho kizito?

heavy, burdensome, cumbersome, cumbrous, heavyweight, hefty, lumpish, massive, overweight, ponderous, unwieldy, weighty,

(2) Maneno gani huelezea kitu kilicho kizito sana?

weigh a ton,

(3) Maneno gani hutaja kitu kilicho kizito?

a weight,

(4) Maneno gani hutaja kitu kikisababishwa kuwa kizito?

gain weight, put on weight,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe kizito?

weigh down, weight (v),

(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimesababishwa kuwa kizito?

weighted,

(7) Maneno gani hutaja hali ya kuwa kizito zaidi kuliko kingine?

heavier, heaviest,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   165   166   167   168   169   170   171   172   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page