Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa nyepesi kwa uzito.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho chepesi kwa uzito?
• light, light, lightness, airy, buoyant, ethereal, lightweight, porous, spongy, underweight,
(2) Maneno ganihuelezea kitu kilicho chepesi sana kwa uzito?
• light as a feather, weightless,
(3) Maneno gani hutaja kitu kikisababishwa kuwa chepesi kwa uzito?
• lose weight, work something off, work off some of this weight,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe chepesi kwa uzito?
• make something lighter, lighten,
(5) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimesababishwa kuwa chepesi kwa uzito?
• lightened,
(6) Maneno gani hutaja hali ya kuwa chepesi kwa uzito zaidi kuliko kingine?
• lighter, lightest,
(7) Maneno gani huonyesha wepesi kwa uzito wa kitu fulani?
• how light, be (two pounds) (too) light,
8.2.9 Kupima uzito
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupima uzito wa kitu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupima uzito wa kitu?
• kupima uzito
(2) Maneno gani hutaja uzito wa kitu?
• uzito, uzani
(3) Maneno gani hutaja kizio cha uzito?
• ounce, pound, ton, milligram, centigram, decigram, gram, dekagram, kilo, kilogram, metric ton, kiloton, megaton, atomic weight, carat, dram, grain, hundredweight, pennyweight, stone, talent, gross weight, net weight,
(4) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kina uzito fulani?
• is, weigh, how heavy, weigh in at,
(5) Zana gani hutumika kwa kupima uzito wa kitu fulani?
• scale, balance, weight,
(6) Maneno gani huelezea utaratibu wa vipimo vya uzito?
• apothecary, avoirdupois, metric, troy,
(7) Maneno gani hutaja uwezo wa kitu fulani kubebea uzito fulani bila kuvunjika au kuanguka?
• support, carry, hold, load, weight, pressure,
Page 8.3.1.1 Ncha, nukta
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ncha, yaani alama ndogo inayofanyiwa na kitu kama kalamu.
(1) Maneno gani hutaja ncha?
• ncha, nukta, doa
8.3.1.2 Mstari
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mstari.
(1) Maneno gani hutaja mstari?
• mstari
(2) Vifaa gani hutumika katika kuchora mstari?
• rula
(3) Maneno gani huelezea mistari miwili inayoelekea sawasawa?
• parallel
8.3.1.3.1 Bapa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vitu vyenye bapa, yaani vyenye sehemu ya juu iliyo sawa. Ubao au ukuta ni mwenye bapa uso wake ukiwepo sawasawa na hakuna sehemu inainuka juu hata kidogo.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho na bapa?
• flat, flat as a pancake, even, flush,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe na bapa?
• kusawazisha, kukandamiza, kutandaza
(3) Maneno gani hutaja kitu kikisababishwa kuwa na bapa?
• flatten, flatten out, level off,
(4) Maneno gani hutaja kitu kilicho na bapa?
• plane, sheet
(5) Maneno gani huelezea kitu kisicho na bapa?
• rough, bumpy, uneven, lumpy, hilly, rolling, mountainous,
8.3.1.3 Kunyooka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kunyooka.
(1) Maneno gani huelezea kitu kinachonyooka?
• straight, straight as an arrow, direct, even, lank, linear, rectilinear, true,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kinyooke?
• kunyoosha, kusawazisha, kufanya sawa
(3) Maneno gani hutaja kitu kikisababishwa kunyooka?
• straighten, straighten out,
8.3.1.4.1 Wima
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho wima -- yaani, kinanyooka juu kutoka ardhi. Mtu akisimama ni wima.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho wima?
• vertical, upright, up-and-down, plumb, erect, upraised, perpendicular, at right angles, square, standing, true, straight, straight up, bolt upright
(2) Maneno ganihutaja tendo la kusababisha kitu kiwe wima?
• raise, stand something up, stand something on end, erect, set up, rear
(3) Maneno gani huelezea sehemu ya juu ya kitu kilicho wima?
• sheer, drop (n)
(4) Maneno gani huelezea kama juu ya kitu imefika chini?
• juu chini, pindu, kichwa pindu
(5) Vifaa gani hutumika kupima kama kitu ni wima?
• pimamaji, mraba, timazi
8.3.1.4.2 Kuegemea, kuinama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea mwelekeo wa kuegemea, au sehemu ya juu inayoegemea.
(1) Maneno gani huelezea kitu kinachoegemea?
• leaning, at an angle, out of plumb, angled, on a slant, aslant, slanted, inclined, oblique, tilted, crooked, list, askew, out of kilter
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuegemeza kitu fulani?
• lean, angle, tilt, slant, incline
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuegemeza kitu fulani kwa kitu kingine?
• lean something against, incline, prop against
(4) Maneno gani huelezea sehemu ya juu au uso wa kitu fulani unaofanya mteremko?
• sloping, slope up/down, on an incline, rising, rise up (toward), ascending, upgrade, uphill, falling, fall away, descending, downgrade, downhill, dip
(5) Maneno gani hutaja sehemu ya juu au uso wa kitu fulani unayofanya mteremko?
• slope (n), ramp, ascent, rise, bank, incline (n), grade
(6) Maneno gani hutaja ukali ya mteremko au ukali wa pembe ya kuegemea?
• angle, slope (n), inclination, pitch, grade, gradient, steep, precipitous, gradual (rise)
(7) Maneno gani huelezea sehemu ya juu au uso wa kitu fulani usio sawa?
• uneven, rough, hilly, wavy, lumpy, broken (ground), rugged
Share with your friends: |