Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi


Page 8.3.3.1.1 Chanzo cha nuru



Download 2.8 Mb.
Page173/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   169   170   171   172   173   174   175   176   ...   206

Page

8.3.3.1.1 Chanzo cha nuru


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na chanzo cha nuru -- yaani, kitu kinacholeta nuru.

(1) Maneno gani hutaja kitu kinacholeta nuru?

light, lamp, candle, arc light, beacon, chandelier, electric light, fire, fixture, flare, flashlight, flash (camera), floodlight, fluorescent light, globe, headlight, incandescent light, lamp-post, lantern, lighthouse, lighting, light source, luminary, night-light, paraffin lamp, searchlight, spotlight, street light, strobe, sunlamp, taillight, taper, torch,

(2) Maneno gani huelezea kitu kinacholeta nuru?

light producing, shining,

(3) Sehemu za taa ni zipo?

lampstand, stand, wick, chimney, bulb, light bulb, lamp shade, switch, filament, socket,

(4) Sehemu za mshumaa ni zipi?

candlestick, wick, wax, candelabra, holder,

(5) Maneno gani hutaja taa zikiwaka katika sehemu fulani?

the lights are on, be lit up, ablaze,

(6) Maneno gani hutaja taa ikiwashwa?

come on,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kuwasha taa?

turn on, light (a candle), switch on,

(8) Maneno gani hutaja taa kikizimika?

go out, go down, dim,

(9) Maneno gani hutaja tendo la kuzima taa?

turn out, put out, turn down, switch off,

(10) Maneno gani hutaja tendo la kutozima taa?

leave the lights on,

8.3.3.1.2 Yenye kung'aa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kinachong'aa sana -- yaani, inaleta mwaga mwingi.

(1) Maneno gani huelezea taa inayong'aa sana?

bright, strong, good, harsh,

(2) Maneno gani huelezea taa inayong'aa sana mno?

blazing, brilliant,

(3) Maneno gani huelezea taa inayong'aa sana mno mpaka inaumiza macho?

blinding, dazzling, glare,

(4) Maneno gani huelezea sehemu iliyo na mwanga mwingi?

bright, light, well lit, ablaze with light,

(5) Maneno gani hutaja mwanga kusababishwa kung'aa hata zaidi?

get light, brighten, lighten, the light grows,

8.3.3.1 Angavu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kung'aa kwa kitu chenye nuru -- yaani, hali ya kitu fulani kusababisha nuri iwepo.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kung'aa kwa kitu chenye nuru?

kung'aa, kuangaza, kuwaa, kumulika

(2) Maneno gani hutaja kitu kiking'aa kwa muda mfupi na halafu kuwepo kwa giza tena?

flash, flare, spark, scintillate,

(3) Maneno gani hutaja kitu kiking'aa kwa ncha ndogo ndogo za nuru?

twinkle, glitter, shimmer, flicker, glimmer,

(4) Maneno gani hutaja kitu kiking'aa sana kwa muda mfupi na halafu kufifilizika na kufanya hivyo tena na tena?

flicker, blink,

(5) Maneno gani huelezea kitu kiking'aa kidogo tu katika giza?

luminous, fluorescent, glow in the dark, glimmer,

8.3.3.2.1 Kivuli


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kivuli, yaani sehemu ambapo mwanga haufiki kwa ajili ya kitu kinauzuia. Kwa mfano, jua (au taa) likiangaza kitu, sehemu ya nyuma ya kitu hicho iko katika kivuli au giza.

(1) Maneno gani hutaja kivuli?

kivuli

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuzuia nuru isiangaze kitu kingine?

kuzuia mwanga

(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho kiko katika kivuli cha kitu kinginge?

kivulini

8.3.3.2 Giza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho na giza -- yaani, sehemu isiyo na mwanga mwingi au haupo kabisa.

(1) Maneno gani huelezea mahali pasipo na mwanga wowote?

dark, dismal, shadowed, shaded, pitch-dark,

(2) Maneno gani huelezea mahali palipo na mwanga mdogo?

pale, dim, weak, poor, bad, soft, low, dull, dusky,

(3) Maneno gani huelezea mahali palipo na mwanga mdogo sana?

unlit, dimly-lit, darkened, the half-light,

(4) Maneno gani huelezea mahali palipo na giza mpaka unapaogopa au kujisikia vibaya?

gloomy, dingy, the shadows,

(5) Maneno gani hutaja hali ya sehemu kusababishwa kuwa na giza?

get dark, darken, the light fades, dim (v), fall, go dark, be plunged into darkness,

(6) Maneno gani hutaja weusi?

darkness, the dark, gloom,

8.3.3.3.1 Nyeupe


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitu kilicho cheupe kwa rangi.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho cheupe kwa rangi?

nyeupe, ya kiwi

8.3.3.3.2 Nyeusi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitu kilicho cheusi kwa rangi.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho cheusi kwa rangi?

nyeusi

8.3.3.3.3 Rangi ya kijivu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitu kilicho na rangi ya kijivu.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho na rangi ya majivu?

rangi ya kijivu, kijivukijivu

8.3.3.3.4 Rangi za upinde wa mvua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kikiwa na rangi.

(1) Maneno gani hutaja rangi zote za upinde wa mvua pamoja?

rangi za upinde wa mvua, spektra, rangi anuwai za mche

(2) Maneno gani huelezea aina ya rangi?

primary color, secondary color, earth color, warm color, cool color, infrared,

(3) Rangi mbalimbali nyekundu zinaitwaje?

nyekundu, pinki, nyekundu ya waridi, rangi ya damu, nyekundu iliyoiva

(4) Rangi mbalimbali za machungwa zinaitwaje?

rangi ya machenza

(5) Rangi mbalimbali za manjano zinaitwaje?

rangi ya dhahabu, rangi ya kaharabu

(6) Rangi mbalimbali za kijani zinaitwaje?

rangi ya zeituni, rangi ya zumaridi

(7) Rangi mbalimbali za buluu zinaitwaje?

rangi ya samawati, buluu ya kung'ara, buluu iliyoiva, rangi ya nili, rangi ya samawi, rangi ya feruzi

(8) Rangi mbalimbali za zambarau zinaitwaje?

rangi ya zambarau, rangi ya urujuani, rangi ya damu ya mzee

(9) Rangi mbalimbali za kahawia zinaitwaje?

brown, tan, beige, flesh colored, auburn, brunette, buff, chestnut, chocolate, cinnamon, cocoa, coffee, dun, fawn, foxy, hazel, khaki, mahogany, ocher, russet, rust, sepia, sienna, sorrel, umber, walnut,

(10) Maneno gani huelezea kitu kinachoonekana kama metali fulani?

metallic, copper, brass, bronze, bronzed, gilded, gilt, gold, golden, platinum, silver, silvery, steely,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   169   170   171   172   173   174   175   176   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page