Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page181/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   177   178   179   180   181   182   183   184   ...   206

8.4.1.6 Mwaka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mwaka.

(1) Maneno gani hutaja mwaka?

year, this year, last year, next year, the years to come

(2) Maneno gani hutumika kwa kuonyesha kwamba jambo hutokea kila mwaka?

yearly, every year, annually, annual

8.4.1.7 Vipindi katika historia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kipindi kirefu katika historia (k.m., karne).

(1) Maneno gani hutaja kipindi kirefu katika historia, kama vile karne?

era, age, epoch, the times, generation, this age, the age to come

8.4.1.8 Siku maalumu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja siku maalumu.

(1) Maneno gani hutaja siku maalumu katika mwaka?

holiday, vacation

(2) Maneno gani hutumika kwa siku ambazo mtu hufanyia kazi?

weekday(s) (Monday through Friday), workday, workweek

(3) Maneno gani hutumika kwa siku ambazo mtu hafanyii kazi?

weekend, day off, Sabbath, day of rest

8.4.1 Kipindi cha muda


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja kipindi cha muda.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja kipindi cha muda kwa jumla?

period, span, while, length of time,

(2) Maneno gani hutaja kipindi cha muda?

instant, second, minute, hour, hourly, day, week, fortnight, month, season, year, decade, century, turn of the century, lifetime, millennium

(3) Maneno gani hutaja nukta ya muda (yaani muda mfupi sana)?

point, moment,

8.4 Muda


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayohusiana na muda kwa jumla, na kwa maneno yanayoonyesha wakati wa tukio fulani.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja muda au wakati kwa jumla?

time, temporal

(2) Maneno gani huonyesha kwamba tukio linatokea saa fulani?

wakati, iwapo, lini

Page

8.4.2.1 Muda mfupi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja muda mfupi.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea kwa muda mfupi?

take a short time, be for a short time, brief, briefly, briefness

(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea kwa muda mfupi sana?

moment, instant, point in time, instantaneous, instantaneously

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuchukua muda mfupi kufanya jambo fulani?

be brief, be quick,

(4) Watu husemaje kama wanamtaka mtu afanye jambo katika muda mfupi?

be brief, don't take long, get it over with

8.4.2.2 Muda mrefu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja muda mrefu.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea kwa muda mrefu?

take a long time, be for a long time, go long, go over the time allotted, take forever, last a long time, went on forever, kept going and going, lengthy, enduring

(2) Watu husemaje kama wanamtaka mtu afanye jambo kwa muda mrefu?

take your time, make it last, we want this to last a long time

8.4.2.3 Milele


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo linalotokea kwa milele.

(1) Maneno gani hutumika katika kuonyesha kwamba tukio au hali itaendelea milele?

forever, always, ever, eternally, incessantly, unceasingly, forever and ever, in perpetuity, for all eternity, for all time

(2) Maneno gani hutumika katika kuelezea jambo litaendelea milele?

eternal, infinite, everlasting, constant, perpetual, unending, endless, never-ending, unceasing, ceaseless, incessant, undying, immortal, imperishable, deathless, boundless, indefinite, unlimited, immeasurable, never failing, unfailing, timeless

(3) Maneno gani hutumika katika kuonyesha kwamba jambo litaendelea milele?

be forever, last forever, go on forever, always be there, never fail/end/die/stop

(4) Maneno gani hutumika katika kutaja muda wote au muda ambao hautakwisha kamwe?

eternity, infinity, all times

8.4.2.4 Kwa muda tu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo likiwa kwa muda tu.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo litadumu kwa muda na baadaye litaisha?

temporary, transient

8.4.2 Kuchukua muda


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuchukua muda kufanya jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja jinsi watu wanavyohusiana na muda (yaani watu hufanyia nini muda)?

kuchukua muda, kupitisha wakati, kutumia muda

8.4.3 Muda usio dhahiri


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja muda usio dhahiri.

(1) Maneno gani hutaja muda usio dhahiri?

when, then, sometime, someday, anytime, onetime, whenever, approximate, approximately,

8.4.4.1 Kupanga saa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kupanga saa la tukio fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupanga saa la tukio fulani?

plan a time, set a date, schedule something, time something

(2) Maneno gani hutaja saa la tukio fulani?

time, date, timing

(3) Maneno gani hutaja mpango kuhusu saa la tukio fulani?

ratiba

8.4.4.2 Mitambo inayoonyesha saa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mitambo inayoonyesha saa.

(1) Maneno gani hutaja mitambo inayoonyesha saa?

saa ya ukuta, saa ya mkononi

8.4.4 Kujua majira, kujua saa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kujua majira au kujua saa.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujua majira au kujua saa?

tell time, keep time, mark time, measure time, beat time, register the time, to chronicle

(2) Maandishi yanayohusu miuda na matukio yanaitwaje?

historia

(3) Mtu ambaye anajua majira au saa anaitwaje?

timekeeper

(4) Maneno gani huonyesha saa fulani?

(In written English we use a semicolon to separate the hour from the minute: 5:00.)



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   177   178   179   180   181   182   183   184   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page