8.4.8.2 Polepole
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya jambo fulani polepole.
(1) Maneno gani huelezea tendo linalofanyikiwa polepole?
• slow, slowly, leisurely
(2) Maneno gani huelezea tendo linalofanyikiwa polepole sana?
• excruciatingly slow, move at a snail's pace, gradual, gradually, little by little, bit-by-bit, glacial
(3) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo fulani polepole?
• go slow, slowness, take your time (over)
(4) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu afanye jambo fulani polepole?
• slow (someone) down, hold back, restrain, delay, hold up
(5) Huwa unasemaje ukitaka mwingine afanye jambo fulani polepole?
• Slow down! Take it easy! Take your time! Whoa! (horse)
8.4.8.3 Ghafla
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tukio la ghafla -- yaani, kitu kinachotokea bila kukitegemea.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusogea ghafla?
• move suddenly, sudden movement
(2) Maneno gani hutumika kuonyesha kwamba tukio ni la ghafla?
• sudden (warning), all of a sudden, abrupt
(3) Maneno gani hutumike kuonyesha kwamba kitu fulani kimetokea ghafla?
• suddenly, abruptly, without warning, without notice
(4) Maneno gani hutaja ughafla wa tukio?
• suddenness
8.4.8 Mbio
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mbio wa mtu akifanya jambo fulani au mbio wa kutokea kwa jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja mbio wa mtu akifanya jambo fulani?
• speed, velocity, pace
(2) Maneno gani hutumika kuonyesha mbio wa kitu?
•
Page 8.5.1.1.1 Nyuma
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba kitu fulani kiko nyuma yako.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kiko nyuma ya kingine?
• behind, in back, way back, in the rear, background
8.5.1.1 Mbele
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwepo mbele yako.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kiko mbele ya kingine?
• front, in front, in the front, up front, forward, in the foreground, be in front, out in front, before, ahead of,
(2) Maneno gani hutaja mbele kabisa ya mstari wa watu au magari?
• the front,
(3) Maneno gani hutaja hali ya kuwepo mbele kabisa ya mstari fulani?
• at the front, at the head of, leading,
(4) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kiko mbele yako?
• in front, ahead, up ahead,
(5) Maneno gani huonyesha kwamba kila mmoja wa watu wawili wako mbele ya mwenzake (yaani, wanaonana uso kwa uso)?
• face to face, facing each other
8.5.1.2.1 Kuzunguka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyeshsa kwamba kitu kimezunguka kingine.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kimezunguka kingine?
• be around, surrounding
8.5.1.2.2 Katikati ya
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba kitu kiko katikati ya vitu viwili vingine.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kiko katikati ya vitu viwili?
• between, amid, amidships, amidst, among, amongst, betwixt, center, central, equidistant, half-way, mean, medial, median, medium, mid, middle, middlemost, midst, midway, therein, throughout, within,
8.5.1.2 Pembeni
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba kitu kiko pembeni ya mtu fulani.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kiko pembeni ya kingine?
• be beside, alongside, along, next to, at your side, be way over to the side, be on the right, be on the left
8.5.1.3.1 Juu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja dhana kwamba kitu fulani kiko juu ya kingine.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kiko juu ya kingine?
• above, higher than, over, overhang, up above, super-, supra-, on high,
(2) Maneno gani huelezea kitu kilichopo juu ya kingine?
• aloft, overhanging, overhead, upper,
8.5.1.3.2 Chini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana dhana ya kwamba kitu kiko chini ya kingine.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kiko chini ya kingine kilichopo moja kwa moja juu yake?
• under, underneath, beneath, under-, sub-
(2) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kiko chini ya kingine lakini kile kingine siyo moja kwa moja juu yake?
• below, beneath, sunken, lower
(3) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kiko chini ya mfuniko fulani (k.m., nguo, ngozi, rangi n.k.)?
• under, underneath, beneath
(4) Maneno gani hutaja hali ya kuwepo chini ya kitu fulani?
• underlay, underlie,
(5) Maneno gani huelezea ktiu kilichopo chini ya kingine?
• underlying, nether,
8.5.1.3 Kukaa juu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba kitu fulani kinakaa juu ya kingine.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kinakaa juu ya kiingine?
• be on, be on top of, topside, upon,
8.5.1.4.1 Nje
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba kitu fulani kiko nje ya kingine.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kiko nje ya kingine?
• be out, outside, outer
8.5.1.4 Ndani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba kitu fulani kimo ndani ya kingine.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kimo ndani ya kingine?
• be in, inside, inner, within
8.5.1.5.1 Kando ya
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba kitu fulani kiko kando ya kingine -- yaani, kitu fulani kinafuata kingine.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kiko kando ya kingine?
• next to, right next to, right up next to, by, beside, neighbor, juxtaposed, nearest
(2) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kiko kando ya kitu kirefu, k.m., barabara au mto?
• along, alongside, by the side of, at the side of
(3) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani, k.m., jengo au nchi, kiko kando ya kingine?
• next door, adjoin, border (v)
(4) Maneno gani huonyesha kwamba vitu viwili vinafuatana vikiwa na mwelekeo mmoja?
• side by side, abreast
(5) Maneno gani huelezea kitu kilichopo kando ya kingine?
• the next, adjacent, adjoining, bordering, neighboring
Share with your friends: |