Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page191/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   187   188   189   190   191   192   193   194   ...   206

8.5.3.1 Kutokuwepo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutokuwepo -- yaani, kutokuwepo mahali maalumu, au kutokuwepo mahali palipo sahihi au kutegemewa.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu au mtu hayupo mahali maalumu?

be absent, not be here, not be around, be out, not be in, be away, missing, be off, not be at, not be there, absence, be gone, not present, be away, nowhere to be found, out of sight, truant, absent without leave, AWOL, missing in action, not show up, make yourself scarce, minus someone, be lacking, lose, elsewhere, somewhere else,

(2) Maneno gani hutaja mtu ambaye hayupo?

absentee, truant, missing person, no-show,

8.5.3 Kuwepo mahali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwepo mahali fulani.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu au mtu yupo mahali maalumu?

be at a place/location, be in a place/location, be located, be situated, be localized, attendance, be present, presence, sit, lie, laid, occupy, be resting

(2) Maneno gani huonyesha kwamba kitu au mtu yupo katika mahali palipo sahihi au kutegemewa?

in place, in the proper place, in your place, out of place

8.5.4.1 Ujirani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ujirani -- yaani, eneo lililopo karibu na kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja eneo lililopo karibu na kitu fulani kingine?

area, vicinity, environs, neighborhood, surroundings, community, district, region, context

8.5.4.2 Kutwaa eneo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutwaa eneo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutwaa eneo?

occupy, occupy an area, take up space, cover an area, fill

8.5.4.3 Nafasi kwenye eneo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nafasi zilizopo katika eneo au chombo fulani.

(1) Maneno gani hutaja nafasi zilizopo katika eneo au chombo fulani?

space, room, clearance, floor space, elbow room,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kufanya au kuacha nafasi kwa mwingine au kingine?

make room, clear a space, make way, get out of the way,

(3) Maneno gani huelezea hali ya nafasi kuwepo ambayo inatosha tu lakini kutozidi nafasi inayohitajika?

a tight squeeze, barely enough room, close fit,

8.5.4.4 Nafasi kati ya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nafasi kati ya vitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja nafasi iliyopo kati ya vitu fulani?

nafasi, hatua, pengo

(2) Maneno gani hutaja tendo la kupanga vitu ili viwe na nafasi kati yao?

space out,

(3) Maneno gani huonyesha kwamba vitu vina nafasi kati yao?

spaced, apart, be spaced out,

(4) Maneno gani huonyesha kwamba vitu vimepangwa vikiwa na nafasi sawasawa kati ya kila viwili?

at regular intervals, every meter, evenly spaced,

8.5.4 Eneo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na eneo.

(1) Maneno gani hutaja eneo kwa jumla?

eneo, mahali

8.5.5 Mahusiano ya mahali pa matukio


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mahusiano ya mahali pa matukio.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba tukio limetokea mahali palepale palipotokea tukio lingine?

where, in the same place as, at the same place as

(2) Maneno gani huonyesha kwamba tukio limetokea mahali tofauti kutoka tukio lingine?

somewhere else, elsewhere,

8.5.6 Kuwa na ndani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha dhana ya kwamba kitu kina kitu fulani ndani yake.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kina kitu fulani ndani yake?

have, of, -'s, contain, hold

(2) Katika baadhi ya lugha dhana ya 'Uchombo' inaweza kuonyeshwa kwa kutumia kishazi kikitumia kitenzi 'Kuchomba' ('Kuchukua') kikiwa na 'Chombo' kuwa mtendaji na 'Yaliyomo' kuwa mtendwa. Ebu, angalia kishazi kilichopo hapo chini. Je, ni sahihi ikifanyikiwa hivyo katika lugha yako? Ikiwa sahihi, naomba utoe mfano wa mfumo huo.

(3) Katika baadhi ya lugha dhana ya 'Uchombo' inaweza kuonyeshwa kwa kutumia kishazi kikitumia kitenzi pamoja na 'Chombo' ikiwa mtendaji, 'Yaliyomo' ikiwa mtendwa, na 'Chombo' kuwepo pia katika kirai cha kihusishi, huwa kinatumia 'ndani'. Ebu, angalia kishazi kilichopo hapo chini. Je, ni sahihi ikifanyikiwa hivyo katika lugha yako? Ikiwa sahihi, naomba utoe mfano wa mfumo huo.

(4) Katika baadhi ya lugha dhana ya 'Uchombo' inaweza kuonyeshwa kwa kutumia kirai cha nomino kikiwa na 'Chombo' kuwa nomino kuu na 'Yaliyomo' ikitanguliwa na "cha, ya, vya, wa, n.k.". Ebu, angalia kirai kilichopo hapo chini. Je, ni sahihi ikifanyikiwa hivyo katika lugha yako? Ikiwa sahihi, naomba utoe mfano wa mfumo huo.

(5) Katika baadhi ya lugha dhana ya 'Uchombo' inaweza kuonyeshwa kwa kutumia kirai cha nomino kikiwa na neno 'chombo' kuwa nomino kuu na 'Yaliyomo' ikitanguliwa na "cha, ya, vya, wa, n.k.". Ebu, angalia kirai kilichopo hapo chini. Je, ni sahihi ikifanyikiwa hivyo katika lugha yako? Ikiwa sahihi, naomba utoe mfano wa mfumo huo.

(6) Katika baadhi ya lugha dhana ya 'Uchombo' inaweza kuonyeshwa kwa kutumia kirai cha nomino kikiwa ne neno 'yaliyomo' kuwa nomino kuu na 'Chombo' ikitanguliwa na "cha, ya, vya, wa, n.k.". Ebu, angalia kirai kilichopo hapo chini. Je, ni sahihi ikifanyikiwa hivyo katika lugha yako? Ikiwa sahihi, naomba utoe mfano wa mfumo huo.

(7) Katika baadhi ya lugha dhana ya 'Uchombo' inaweza kuonyeshwa kwa kutumia kirai cha miliki kikiwa na 'Chombo' katika nafasi ya kwanza na neno 'yaliyomo' katika nafasi ya pili. Ebu, angalia kirai kilichopo hapo chini. Je, ni sahihi ikifanyikiwa hivyo katika lugha yako? Ikiwa sahihi, naomba utoe mfano wa mfumo huo.




Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   187   188   189   190   191   192   193   194   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page