Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page194/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   190   191   192   193   194   195   196   197   ...   206

9.1.2.6 Kubadili kitu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la mtu kubbadili kitu fulani.

(1) Maneno gani hutumika kutaja tendo la kubadili kitu fulani?

change (v), change (n), revise, revision, revolutionize, revolution, reform, reformation, modify, modification, develop, development, make different, impact, process, transform,

(2) Maneno gani hutaja mtu anayebadili kitu fulani?

revolutionary, reformer, radical

(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho inawezekana kukibadili?

changeable

(4) Maneno gani huelezea mabadaliko makubwa?

big, major, sweeping, radical, fundamental, revolutionary, monumental,

(5) Maneno gani huelezea mabadaliko madogo?

small, slight, tiny, minute,

(6) Maneno gani huelezea mabadaliko yaliyofanyika haraka?

quick, fast, rapid,

(7) Maneno gani huelezea mabadaliko yaliyofanyika polepole?

slow, gradual,

9.1.2.7 Vihusishi vya tukio


Tumia eneo hili kwa vihusishi, yaani aina ya maneno ambayo huonyesha uhusiano baina ya kirai (au kipashio) kimoja na kirai kingine. Huwa vihusishi hivi vinatumia kiima na kitenzi, na labda aina za maneno mengine.

(1) Maneno gani huonyesha tukio lililo sehemu kuu ya sentensi?

-ing, -'s...-ing, -ing...of, to,

9.1.2 Kufanya, kutenda


Tumia eneo la maana hili kwa vitenzi vya kawaida vilivyo na mtendaji wa hiari -- yaani, mtendaji wa kitenzi ametenda kwa kusudi.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la mtu kufanya jambo fulani?

Kufanya, kutenda

(2) Maneno gani hutaja jambo linalofanyika?

tukio, tendo

(3) Maneno gani hutaja mtu anayetenda?

mtendaji,

(4) Maneno gani huelezea mtu anayetenda?

active, in action

(5) Unamwulizaje mtu anafanya nini?

What are you doing? What are you up to? What do you think you are doing?

9.1.3.1 Kitu cha maumbile, cha kiroho


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho cha maumbile -- yaani, unachoweza kukiona na kukigusa. Pia tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho cha kiroho -- yaani, huwezi kukiona wala kukigusa.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho cha maumbili?

animal nature, biological, bodily, concrete, corporal, corporeal, earthly, earthy, fleshly, incarnate, inferior, matter, material, materialistic, mundane, natural, objective, physical, seen, sensible, sensual, tangible, temporal, unspiritual, worldly

(2) Maneno gani hutaja kitu kilicho cha maumbili?

substance, stuff, matter, material

(3) Maneno gani huelezea kitu kilicho cha kiroho?

disembodied, extramundane, extrasensory, immaterial, impalpable, incorporeal, instinctive, intangible, intellectual, libidinal, life, mental, metaphysical, nonphysical, nonmaterial, numinous, otherworldly, preternatural, psychic, psychological, rational, reasoning, spiritual, spiritualist, subjective, supernatural, transcendent, transcendental, unbodied, unearthly, unseen, unworldly,

(4) Maneno gani hutaja kitu kilicho cha kiroho?

spirit

9.1.3.2 Hali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali -- yaani, muda na sehemu maalumu, na matukio yaliyohusiana na muda na sehemu ile.

(1) Maneno gani hutaja hali iliyopo kwa jumla katika sehemu fulani ?

situation, things, conditions, state of affairs, set-up, context,

(2) Maneno gani hutaja hali inayoathiri matukio yanayoweza kutoka au watu wanavyoweza kufanya?

situation, circumstances, environment, climate, conditions, the lay of the land, which way the wind blows, scenario,

(3) Maneno gani hutaja hali iliyopo wakati wa kipindi fulani cha tukio kubwa au utaratibu fulani?

situation, position, state of play,

(4) Maneno gani hutaja hali iliyopo kweli badala ya hali ambayo watu wanafikiri ipo?

the picture, the score, what's going on,

(5) Maneno gani hutaja hali iliyopo kwa mtu fulani?

situation, circumstances, position, case, plight,

(6) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linapaswa kutokea au haliweza kutokea kwa sababu ya hali fulani?

under the circumstances, in the circumstances, given the circumstances, given the situation, as it is, as things stand, force of circumstances, the way things are,

9.1.3 Kitu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayohusiana na vitu.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja kitu?

thing, something, article, artifact, entity, item, object, wares,

(2) Maneno gani hutaja kundi la vitu vya aina mbalimbali?

things, oddments, paraphernalia, stuff, odds and ends, bits and pieces, knick-knacks,

(3) Maneno gani hutumika kutaja kitu ambacho umesahau kinaitwaje?

ile nani

(4) Maneno gani hutumika kwa mwisho wa orodha ili kuonyesha kwamba bado vingine vipo lakini havijatajwa?

et cetera, etc., and what not, and so forth, and the like, and on and on, ... [ellipsis]

9.1.4 Vivumishi vya kawaida


Tumia eneo la maana hili kwa vivumishi vya kawaida vinavyoweza kuwakilisha au kuchukua nafasi ya kivumishi maalumu.

(1) Maneno gani ya kawaida huchukua nafasi ya kivumishi, kwa jumla?

such, that kind of, that sort of,

(2) Maneno ya maswali yapi huomba kivumishi kiwepo katika jibu?

what kind of, what sort of,

(3) Maneno ya maswali yapi huomba kivumishi cha kiasi kiwepo katika jibu?

how,

9.1.5 Kielezi cha kawaida


Tumia eneo la maana hili kwa vielezi vya kawaida vinavyoweza kuwakilisha au kuchukua nafasi ya vielezi vingine.

(1) Maneno gani ya kawaida huchukua nafasi ya kielezi, kwa jumla?

thus, thusly, so, how, like this, this way, in that way, in this manner



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   190   191   192   193   194   195   196   197   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page