Page 8.6.1.1 Sehemu ya nyuma
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya nyuma ya kitu.
(1) Maneno gani hutaja sehemu ya nyuma ya kitu fulani?
• back (n), rear, hind end,
(2) Maneno gani huelezea kitu kilichopo sehemu ya nyuma?
• back (adj), rear, posterior,
8.6.1 Sehemu ya mbele
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya mbele ya kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja sehemu ya mbele ya kitu?
• front (n), face, facade,
(2) Maneno gani huelezea kitu kilichopo sehemu ya mbele?
• front (adj), frontal, anterior
8.6.2.1 Sehemu ya chini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya chini ya kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja sehemu ya chini ya kitu?
• bottom (n), underside, base, breech, foot, foundation, ventral, undersurface,
(2) Maneno gani huelezea kitu kilichopo sehemu ya chini?
• bottom (adj),
8.6.2 Sehemu ya juu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya huu ya kitu.
(1) Maneno gani hutaja sehemu ya juu ya kitu?
• top (n), topside, summit, peak, pinnacle, cap, head,
(2) Maneno gani huelezea kitu kilichopo sehemu ya juu?
• top (adj), uppermost,
8.6.3 Sehemiu ya pembeni
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya pembeni ya kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja sehemu ya pembeni ya kitu?
• side (n), flank, right side, left side,
(2) Maneno gani hutaja eneo lililopo upande mmoja wa ukuta au mpaka?
• side,
(3) Maneno gani huelezea kitu kilichopo sehemu ya pembeni?
• side (adj), lateral,
8.6.4.1 Sehemu ya nje
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya nje (au sehemu ya uso) ya kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja sehemu ya nje ya kitu?
• outside (n), exterior, surface, cover, covering, skin, shell
(2) Maneno gani huelezea kitu kilichopo sehemu ya nje?
• outside (adj), outer, external, surface, superficial,
8.6.4 Sehemu ya ndani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya ndani ya kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja sehemu ya ndani ya kitu?
• inside (n), interior, innards, lining, framework,
(2) Maneno gani huelezea kitu kilichopo sehemu ya ndani?
• inside (adj), interior, inner,
8.6.5 Sehemu ya katikati
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya katikati au kiina cha kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja sehemu ya katikati au kiina cha kitu?
• middle (n), center, the heart of, core,
(2) Maneno gani huelezea kitu kilichopo sehemu ya katikati?
• middle (adj), center (adj), central,
(3) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kipo katikati ya kitu au eneo?
• in the middle, at the center,
(4) Maneno gani hutaja sehemu iliyopo katikati ya sehemu mbili, au mida miwili, au hata kiasi mbili?
• in the middle, halfway, midway, midpoint,
8.6.6 Sehemu ya ukingo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya ukingo ya kitu fulani -- yaani, sehemu ya kitu zinapokutana upande mbili.
(1) Maneno gani hutaja sehemu ya ukingo ya kitu?
• edge (n), border, outskirts, perimeter, margin, periphery, curb
(2) Maneno gani hutaja ukingo wa eneo la ardhi fulani?
• border, boundary, frontier,
(3) Maneno gani hutaja ukingo wa sahani au kikombe?
• rim, lip, brim,
(4) Maneno gani hutaja ukingo wa nguo?
• hem, fringe,
(5) Maneno gani hutaja kitu kinachowekwa ukingoni wa kitu fulani?
• frame, edging, skirting,
(6) Maneno gani huelezea kitu kilichopo sehemu ya ukingo?
• edge (adj), peripheral, marginal, border (adj), bordering,
(7) Maneno gani hutaja pembe ya kitu?
• corner (n),
(8) Maneno gani huelezea kitu kilichopo kwenye pembe ya kitu?
• corner (adj),
8.6.7 Sehemu ya kikomo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya kikomo ya kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja sehemu ya kikomo ya kitu?
• end (n), point, tip, nose, head,
(2) Maneno gani huelezea kitu kilichopo sehemu ya kikomo?
• end (adj), pointy,
8.6 Sehemu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu. Kwa baadhi ya lugha maneno haya yanatokana na sehemu za mwili.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja sehemu ya kitu, kwa jumla?
• part, piece, section, component, portion, bit
(2) Ikiwa kitu kina upande mbili, maneno gani hutaja upande ule mwingine?
• the back, the reverse, the other side, the flip side,
(3) Maneno gani hutaja sehemu ya kitu kinachotumika kukishikilia?
• handle, grip
(4) Maneno gani hutaja sehemu kuu za kitu?
• body, chassis
(5) Maneno gani hutaja kitu fulani kinachowekwa na sehemu kuu ya jambo fulani?
• appendage, appurtenance, adjunct, accessory, addition, attachment
(6) Maneno gani hutaja rusu ya kitu?
• layer, level, stratum, stratified, story, floor, sandwich
(7) Maneno gani hutaja sehemu ya kitu fulani?
• flap, detail, bar, blade, hook, lid, neck, nose, shelf, wheel, longitudinal, projection,
Page 8 Hali
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kwaida yanayohusiana na hali ya kitu fulani kwa jumla.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja hali ya kitu kwa jumla?
• hali, tabia
(2) Maneno gani huonyesha hali ya kitu ilivyo?
• be, fare, stand,
Share with your friends: |