Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page188/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   184   185   186   187   188   189   190   191   ...   206

8.4.6.6.2 Pengine


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo linalotokea pengine.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba pengine tukio linatokea?

sometimes, occasionally, every so often, once in a while, at times, now and again, now and then, from time to time

(2) Maneno gani huelezea jambo linalotokea pengine?

occasional, the odd, periodic, intermittent, casual

8.4.6.6.3 Mara kwa mara


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo linalotokea mara kwa mara--yaani linatokea au linafanyika mara nyingi.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea mara nyingi au mara chache?

often, frequently, time after time, time and again, repeatedly, many a time, hundreds of times, half the time, at frequent intervals,

(2) Maneno gani huelezea jambo linalotokea mara kwa mara?

frequent, repeated, habitual,

(3) Maneno gani huonyesha kwamba jambo halitokei mara kwa mara?

rarely, infrequently,

(4) Maneno gani huelezea jambo lisilotokea mara kwa mara?

rare, infrequent,

(5) Maneno gani huonyesha ni mara ngapi jambo linatokea?

how often, how many times, the number of times, frequency,

(6) Maneno gani hutaja jambo linalotokea mara zaidi kuliko kabla?

increasingly,

8.4.6.6.4 Wakati wote


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo likitokea wakati wote?

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea au hali ipo wakati wote?

all the time, always, constantly, permanently, permanent

(2) Maneno gani huonyesha kwamba hali inaendelea wakati wa kipindi fulani?

throughout, all through, the whole time, all day, all week, from start to finish

8.4.6.6.5 Kila mara


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo likitokea kila mara jambo lingine linatokea.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba daima jambo linatokea?

always, habitually

(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo moja likitokea, daima jambo lingine linatokea?

every time, whenever

(3) Maneno gani huonyesha kwamba jambo hutokea kila siku au kila wiki?

every (day),

8.4.6.6.6 Kamwe


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba jambo halitokei kamwe, au kwamba jambo halijawahi kutokea hata mara moja.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo halitokei kamwe?

never, not ever, never once, not once, never for a moment, not for a moment, never ever, at no time, not in a million years, never in a million years, have never been known to do something,

8.4.6.6 Mara moja tu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo likitokea mara moja tu.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba tukio limetokea mara moja tu?

once, one time, on one occasion, at one stage, at one point, one day

8.4.7.1 Kukatiza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumkatiza mtu -- yaani, kuongea mwingine anapoongea, au kufanya jambo fulani ili kumwachisha mtu wakati anapofanya shughuli fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumkatiza mut au kitu kinachotokea?

interrupt, break in, stop, butt in, interruption, intermission, interlude

(2) Maneno gani hutumika kuelezea kitu kisichokatizwa?

incessant, uninterrupted

8.4.7.2 Kuanza tena


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuanza kufanya jambo fulani baada ya kuacha jambo lile kwa kipindi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuendelea tena kufanya jambo fulani baada ya kuliacha?

continue, start again, resume, get on with, get around to

8.4.7.3 Muda baina ya matukio mawili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na muda baina ya matukio mawili.

(1) Maneno gani hutaja muda baina ya matukio mawili?

interval, space things out

8.4.7 Kuendelea, kustahamili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuendelea kufanya jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuendelea kufanya jambo fulani?

continue (doing something), remain at (something), keep on (doing something), stay at (it), stick to (it), hold on, keep (going), keep at (it), stick-to-itiveness, sustain,

(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linaendelea?

continuity, continual, continuous, to last (for a long time), endure, enduring, lasting, continuing, remain, perpetual, durable, rest, retain, stand, endless,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuendelea kufanya jambo fulani bila kusubiri?

go ahead, proceed,

(4) Maneno gani hutaja kitu kinachoendelea?

continuum,

8.4.8.1 Haraka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya jambo fulani haraka au kwa kitu kutokea haraka.

(1) Maneno gani huelezea tendo linalofanyikiwa haraka?

fast, quick, quickly, quickness, speedy, speeding, speedily, speed, hasty, hastily, haste, rapid, rapidly, rapidity, hurry, hurried, hurriedly, in a hurry, swift, swiftly, swiftness, rush, rush into, rush through, in a rush, express

(2) Maneno gani huelezea tendo linalofanyikiwa haraka sana?

at light speed, faster than a speeding bullet, just a blur

(3) Maneno gani huelezea kitu kinachotokea haraka?

happen so fast, in the twinkling of an eye, came and went so quickly, it was all over in a minute

(4) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo fulani haraka?

to speed, move fast, hurry, hasten, be brief

(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu afanye jambo fulani haraka?

hurry (someone), rush (someone)

(6) Huwa unasemaje ukitaka mwingine afanye jambo fulani haraka?

Hurry up! Move it! Let's go, let's go! Quick! Faster! Speed it up! Get a move on! Giddy up! (horse)



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   184   185   186   187   188   189   190   191   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page