8.4.5.3.1 Kuwahi, mapema
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanyoonyesha kwamba jambo linawahi--yaani linatokea kabla ya muda unaotarajiwa, kabla ya muda wa kawaida, au kabla ya muda uliokubalika. Maneno mengi yanaonyesha wazo la kwamba ni nzuri kwamba tukio liliwahi. Maneno mengine yanaonyesha wazo la kwamba ni vibaya kwamba tukio liliwahi.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo liliwahi au lilitokea mapema?
• early (adv), ahead of time, ahead of schedule, in good time,
(2) Maneno gani huelezea jambo linalowahi au linalotokea mapema?
• early (adj),
(3) Maneno gani hutaja jambo linalowahi au linalotokea mapema?
• be early,
(4) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linawahi sana au linatokea mapema sana?
• too early, too soon, untimely, premature, prematurely, jump the gun,
(5) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea asubuhi sana?
• early, first thing, at the crack of dawn, bright and early,
(6) Maneno gani huonyesha kwamba jambo halitatokea kabla ya saa fulani?
• at the earliest, no earlier than,
8.4.5.3.2 Kwa wakati wake
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea jambo linalotokea kwa wakati wake--yaani muda unaotarajiwa, muda wa kawaida, au muda uliokubalika.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea kwa wakati wake?
• on time, right on time, punctually, promptly, on cue, on the dot, at the right time, at the designated time, at the appointed time, when expected, right when it was supposed to happen, at the exact moment,
(2) Maneno gani huelezea jambo linalotokea kwa wakati wake?
• timely,
(3) Maneno gani humwelezea mtu anayefanya mambo kwa wakati wao?
• punctual, prompt,
(4) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea kabla ya kuchelewa sana?
• in time, just in time, in the nick of time, not a moment too soon, at the last minute, at the eleventh hour, catch, cut it fine, cut it too close, made it in by a whisker, just under the wire,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kumaliza na jambo fulani katika muda unaoruhusiwa?
• meet a deadline, on schedule,
8.4.5.3.3 Kuchelewa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanyotaja jambo likichelewa kutokea--yaani linatokea baada ya muda unaotarajiwa, baada ya muda wa kawaida, au baada ya muda uliokubalika.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linachelewa kutokea?
• late (adv), not on time, lateness (of the hour), late in life,
(2) Maneno gani huelezea jambo linalochelewa kutokea?
• late (adj), overdue, belated,
(3) Maneno gani humwelezea mtu anayechelewa?
• tardy, latecomer,
(4) Watu husemaje kwa mtu aliyechelewa kufika?
• about time too, what time do you call this? where have you been? better late than never
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuchelewa kurudisha mkopo?
• be behind with, overdue, be in arrears,
(6) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea usiku sana?
• last thing at night, in the middle of the night, the early hours, till all hours,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kutomaliza na jambo katika muda unaoruhusiwa?
• be behind, be behind schedule, be running late, overrun,
(8) Maneno gani huonyesha kwamba jambo limechelewa sana?
• too late, it's a little late in the day, leave it a bit late, miss,
(9) Maneno gani huonyesha kwamba jambo halitatokea baada ya muda fulani?
• no later than, at the latest,
8.4.5.3.4 Kukawisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la jambo moja kukawisha mtu au jambo lingine--yaani kusababisha jambo litokee baadaye, kumsababisha mtu afanye jambo baadaye, au kumchelewesha mtu au kitu.
(1) Maneno gani hutaja jambo likikawisha mtu?
• delay, make someone late, hold someone up, keep, detain,
(2) Maneno gani hutaja jambo likikawisha tukio fulani?
• delay, hold something up, set back, put back, get bogged down
(3) Maneno gani hutaja tendo la kukawisha jambo?
• delay (n), hold-up,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kukawisha jambo fulani kwa kusudi ili kufanikisha jambo lingine?
• stall, play for time, delaying tactics,
8.4.5.3.5 Kuahirisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuahirisha jambo--yaani kuamua kufanya jambo baadaye.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuahirisha jambo?
• postpone, put off, delay, reschedule, be put back, defer, table (v),
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuahirisha jambo kwa sababu wewe ni mvivu?
• put off, procrastinate,
(3) Watu husemaje wakiahirisha kufanya jambo fulani?
•
8.4.5.3 Muda mwafaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja muda mwafaka wa kufanya jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja muda mwafaka wa kufanya jambo fulani?
• the right time, a good time, be the time,
(2) Maneno gani huelezea jambo likitokea katika muda mwafaka?
• timely, opportune, well-timed, come at the right time,
(3) Maneno gani hutaja uwezo wa mtu kuchagua muda mwafaka wa kufanya jambo fulani?
• timing, sense of timing,
(4) Maneno gani hutaja muda usio mwafaka wa kufanya jambo fulani?
• the wrong time, a bad time, not a good time, be no time, not be the time,
(5) Maneno gani hutaja jambo linalotokea katika muda usio mwafaka?
• badly-timed, ill-timed, come at the wrong time, at a bad time, inopportune,
8.4.5 Muda unaohusiana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja muda unohusiana na muda mwingine. Pamoja na hayo tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha mahusiano ya muda kati ya hali mbili au zaidi.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja muda mmoja unaohusiana na muda mwingine, kwa jumla?
• baada, kabla, kuhusiana na
Share with your friends: |