Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page182/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   178   179   180   181   182   183   184   185   ...   206

Page

8.4.5.1.1 Mfululizo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mfululizo--yaani mambo kadhaa yaliyotokea mfululizo.

(1) Maneno gani hutaja mfululizo wa vitu, matukio, tarakimu, au watu?

series, sequence, string of, succession of, stream, train of events, course of,

(2) Maneno gani huelezea vitu katika mfululizo?

successive, consecutive, alternating, serial,

(3) Maneno gani huonyesha kwamba mtu anafanya mambo mfululizo?

in succession, one after the other, one after another, straight, in a row, running, alternate

(4) Maneno gani hutaja sehemu ya kitu fulani katika mfululizo?

place, order, rank, slot, grade,

8.4.5.1.2 Ya kwanza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo linalotokea kwanza--yaani kuwa mbele ya vitu vingine vyote katika ufuatano au kabla ya mambo mengine yote katika muda.

(1) Maneno gani huelezea kitu cha mbele au cha kwanza katika ufuatano au muda?

first, original, initial, earliest, inaugural, prime,

(2) Maneno gani huonyesha tukio au tendo lililo la kwanza?

first (adv), first of all, beginning with, starting with,

(3) Maneno gani huonyesha kwamba jambo lilitokea ulipokiona kitu fulani kwa mara ya kwanza?

at first sight, at first glance

(4) Maneno gani huonyesha kwamba jambo ni la kwanza katika orodha ya mambo unayotaka kuongea kuhusu hayo?

firstly, first of all, to start with, to begin with, in the first place

(5) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea au linafanyika kwa mara ya kwanza?

first, the first time,

(6) Maneno gani hutaja mara ya kwanza mtu anafanya jambo fulani?

debut, premiere, maiden (voyage),

(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo halijawahi kutokea?

unprecedented, a first,

(8) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo ambalo halijawahi kufanyika?

be the first to do something, show the way, lead the way, pioneer, break new ground,

(9) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mtu wa kwanza kufanya jambo katika hali fulani badala ya kumsubiri mwingine afanye?

make the first move, take the initiative,

(10) Maneno gani humtaja mtu ambaye alitangulia wote kufanya jambo fulani?

pioneer, the first,

(11) Maneno gani hutaja jambo lililo la kwanza la aina yake?

prototype, original (n),

8.4.5.1.3 Inayofuata, ijayo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo lijalo ambalo litatokea.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba tukio fulani linakuja kutokea (baada ya tukio la sasa hivi)?

next, right afterwards, the day after, then,

(2) Maneno gani huelezea jambo linalofuata (yaani baada ya tukio la sasa hivi)?

next, following, ensuing,

(3) Maneno gani hutaja tendo la tukio fulani kutokea baada ya tukio lingine?

follow, come next, be after, be next, succeed, come after, go after, go next, ensue,

8.4.5.1.4 Ya mwisho


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo la mwisho kutokea--yaani kutokea baada ya mambo yote mengine katika ufuatano fulani, au hali ya kuwa mtu au kitu cha mwisho katika ufuatano.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba tukio fulani ni la mwisho kutokea?

last (adv), at the end,

(2) Maneno gani huelezea jambo ambalo ni la mwisho kutokea?

last (adj), final, closing, concluding,

(3) Maneno gani hutaja tendo la tukio fulani kuwa la mwisho kutokea?

come last, end with, finish with,

(4) Maneno gani huonyesha kwamba mtu au kitu ni cha mwisho katika orodha, safu, au kundi?

be last, come last, finish last, bring up the rear, straggler, be the last straw,

(5) Maneno gani huonyesha kwamba kitu ni cha pili kutoka mwisho?

next to the last, the last but one, penultimate,

(6) Maneno gani huonyesha kwamba kitu ni cha mwisho kabla ya sasa?

last (week), latest

(7) Watu hutumia maneno gani kuonyesha kitu cha mwisho katika orodha ya vitu ambavyo wanaviongelea?

lastly, finally, last but not least,

(8) Maneno gani hutaja jambo la mwisho?

the last, the latter,

(9) Maneno gani hutaja sehemu ya mwisho ya kitu au jambo fulani?

end, ending, finish,

8.4.5.1.5 Ya kawaida


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo linalotokea kwa kawaida.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea kwa kawaida?

regular, regularly, at regular intervals, every day, daily, be punctuated by, with great regularity, routine, like clockwork

(2) Maneno gani huonyesha kwamba pengine jambo linatokea, lakini halitokei kwa kawaida?

intermittently, intermittent, on and off, off and on, in fits and starts, sporadic,

(3) Maneno gani huonyesha kwamba jambo halitokei kwa kawaida?

irregular, without warning

8.4.5.1.6 Kipokee


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanyohusiana na tendo la kupokezana--yaani wakati mambo kadhaa yanapotokea mfululizo katika ufuatano unaorudiarudia (la kwanza linatokea, halafu la pili, halafu la kwanza tena, halafu la pili tena, n.k.)

(1) Maneno gani hutaja mambo yakipokezana?

alternate, repeat, cycle, rotate,

(2) Maneno gani huelezea mambo ambayo yanapokezana?

alternating, repeated, cyclical, rotating

(3) Maneno gani huonyesha kwamba mambo mawili yanapokezana?

alternate (actions, events),

(4) Maneno gani hutaja watu wawili au zaidi wakifanya jambo kwa zamu zinazopokezana?

alternate, take turns, take it in turns, share, spell each other, go back and forth,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   178   179   180   181   182   183   184   185   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page