Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page178/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   174   175   176   177   178   179   180   181   ...   206

8.3.7.6 Kuboresha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuboresha kitu -- yaani, kusababisha kitu kiwe kizuri zaidi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuboresha kitu?

improve, improvement, ameliorate, correct, develop, reform, remedy, renovate, renovation, upgrade,

(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimeboreshwa?

improved, corrected,

8.3.7.7.1 Si sahihi, isiyofaa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu, k.m., zana ua njia ya kufanyia jambo fulani, ambacho hakifai kwa ajili fulani, k.m., hakifai kwa muda fulani, mahali fulani, nia fulani au shughuli fulani.

(1) Maneno gani huelezea kitu kisichofai?

improper, ill-suited, ill-timed, inadmissible, inapt, incongruous, incorrect, indecent, indelicate, malapropos, presumptuous, unacceptable, unapt, unbecoming, unbefitting, undue, unfit, unfitting, unsuited to, untimely, untoward,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kitu kutofaa kwa shughuli au hali maalumu?

wrong, unsuitable, not suitable, unsuited to, not suited to, inappropriate, not appropriate, hardly the time/place/person,

(3) Maneno gani hutaja hali ya mtu kutofaa kwa shughuli au kazi fulani?

unsuitable, not suitable, not be cut out for, wrong, ill-suited to, not suited to,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kitu kutofaa kwa sababu siyo kizuri ya kutosha?

unfit, not fit,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kitu kutofaa kwa mahali maalumu?

be out of place, be out of keeping, not be in keeping, incongruous,

(6) Maneno gani hutaja hali ya mtu kutofaa kwa mahali maalumu?

be out of place, misfit,

8.3.7.7.2 Kufalia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kinachofalia -- yaani, kitu kinachofikika kwa urahisi au kinachopatikana kwa urahisi au hata muda rahisi wa kufanya shughuli fulani.

(1) Maneno gani huelezea kitu kinachofalia?

convenient, handy, suit, fit in with, be good for, a good time, no trouble, no problem

(2) Maneno gani huelezea kitu kisichofalia?

inconvenient, not convenient, be bad for, a bad time

8.3.7.7.3 Kupatana


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kupatana -- yaani, maneno yanoyoelezea vitu viwili au watu wanaoweza kukaa pamoja au kufanya kazi pamoja bila tatizo au ugomvi wowote.

(1) Maneno gani huelezea vitu vinavyopatana?

compatible, congruent, congruous, consistent, consonant, suitable, proper, fitting, presentable

(2) Maneno gani hutaja hali ya vitu kupatana?

accord, agree, clash, cohere, complement, comport, dovetail, go together, go with, harmonize, jibe, rhyme, square

(3) Maneno gani huelezea watu wanaopatana?

compatible,

(4) Maneno gani hutaja hali ya watu kupatana?

work well together, be well-suited, be well-matched, be made for each other, be a perfect match, be a perfect pair, be ideally suited, be right for,

(5) Maneno gani hutaja sifa za kupatana?

compatibility, harmony,

(6) Maneno gani huelezea vitu au watu ambao hawapatani?

incompatible, ill-matched,

(7) Maneno gani hutaja hali ya watu kutopatana?

not be suited, be wrong for, not be right for, not be someone's type,

(8) Maneno gani hutaja sifa za kutopatana?

incompatibility,

8.3.7.7 Sahihi, ya kufaa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea jambo, k.m., zana au njia ya kufanya jambo fulani, lililo sahihi au la kufaa kwa muda, sehemu, nia, au kazi fulani. Maneno ya eneo la maana hili yanahusiana na kulinganisha vitu viwili, kitu fulani na mkao wake. Tathmini inafanyika ili kuona kama zana ili inafaa kwa mkao ule. Inawezekana kwamba maneno haya yanatumika kwa aina fulani za zana, au aina fulani za mikao, au aina fulani za utumiaji.

(1) Maneno gani huelezea kitu kinachofaa?

kufaa, kustahili, kustahiki, sawa, sahihi, halisi

(2) Maneno gani huelezea kitu kinachofaa kwa shughuli fulani?

right, proper, accepted, approved, appropriate, correct,

(3) Maneno gani hutaja hali ya kitu kufaa kwa shughuli fulani?

suit, lends itself to, be suited to, be cut out for, be made for, fit the bill, fit in, be right for, be the right person for, make a good/ideal,

(4) Maneno gani hutaja kitu kinachofanyika na mtu na kinachofaa kwa hali au mkao fulani?

right, proper, acceptable, appropriate, apt, correct, fitting, suitable, be the done thing, be the way it's done, in keeping with,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu katika njia iliyo sahihi?

right, properly, correctly, by the book,

(6) Maneno gani hutaja sifa ya kufaa?

suitability, suitableness, fit (n),

8.3.7 Njema


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho chema.

(1) Maneno gani huelezea mtu aliye mwema?

good, fine, excellent, moral, nice, worthy

(2) Maneno gani huelezea kitu kilicho chema?

good, nice

(3) Maneno gani huelezea tendo lililo jema?

well done

Page

8.3.7.8.1 Kutu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuliwa na kutu kwa chuma -- yaani, chuma kinapoanza kuwa kibaya.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuliwa na kutu kwa chuma?

kuliwa na kutu, kutu

(2) Maneno gani huelezea chuma ambacho kimeliwa na kutu?

rusty, corroded, tarnished, rusted, eaten away, eaten through,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kuliwa na kutu kwa chuma?

corrode, eat away, eat through,

(4) Maneno gani hutaja utaratibu wa kuliwa na kutu?

corrosion, oxidation,

(5) Maneno gani hutaja kutu?

rust, tarnish,

(6) Maneno gani huelezea kitu kinachosababisha kuliwa na kutu kwa chuma?

corrosive,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   174   175   176   177   178   179   180   181   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page