Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page179/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   175   176   177   178   179   180   181   182   ...   206

8.3.7.8.2 Dosari


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na dosari -- yaani, sehemu ndogo na mbaya iliyopo kwenye ngozi ya mtu au uso (sehemu ya juu) ya kitu fulani, lakini siyo kibaya sana, hasa jambo dogo baya lisilosababisha kitu fulani kisifanya kazi.

(1) Maneno gani hutaja dosari katika kitu fulani?

dosari, ila, baka, waa

(2) Maneno gani huelezea kitu kilicho na dosari?

blemished, defaced, marred,

8.3.7.8.3 Takataka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na takataka -- yaani, kitu ambacho tayari hakitakika.

(1) Maneno gani hutaja takataka?

garbage, rubbish, trash, litter, refuse, junk, waste, wastepaper, scrap,

(2) Watu hufanya nini na takataka?

take out, throw away, discard, burn, chuck, dispose of, disposal, haul away, bury, dump, litter, pile up, collect

(3) Maneno gani hutaja chombo kinachowekewa takataka?

garbage can, trashcan, waste-basket, wastepaper basket, bin, dustbin, wastebin, garbage bag,

(4) Maneno gani hutaja mahali panapowekewa takataka?

garbage pit, rubbish heap, garbage dump, rubbish tip, compost pile, incinerator,

(5) Maneno gani hutaja mtu ambaye anatoa takataka kutoka nyumba?

garbage man, dustman

(6) Maneno gani hutaja gari linalotumika kwa ajili ya kutoa takataka kutoka nyumba?

garbage truck, dustcart,

(7) Maneno gani hutaja mtu anayetoa takataka katika mahali pa umma?

litterbug,

(8) Maneno gani huelezea kitu kinachotenganezwa kwa kutimika mara moja tu na halafu kutolewa takataka?

disposable,

(9) Maneno gani hutaja vitu vibaya ambavyo watu huwa hawazuia kuingia majini au hewani?

pollution, pollute, pollutant, smog, acid rain

8.3.7.8.4 Kuhifadhi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuhifadhi hali au uzuri wa kitu fulani ili kisioze.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuhifadhi kitu fulani ili kisioze?

preserve, put up, treat, conserve, maintain, keep up, sustain, take care of,

(2) Maneno gani hutaja mbinu wa kuhifadhi kitu fulani?

bottle, can, cure, dry, embalm, freeze, mummify, pickle, refrigerate, salt, smoke, tan,

(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimehifadhika?

preserved, well-preserved, unspoiled,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kitu kuendelea katika hali nzuri?

stay fresh, keep well, retain its flavor/appearance,

(5) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika kwa kuhifadhi kitu fulani?

preservative, salt, formaldehyde, embalming fluid, canning jar,

(6) Maneno gani hutaja utaratibu wa kuhifadhi kitu fulani?

preservation, embalming, mummification,

8.3.7.8 Kuoza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kitu kuoza -- yaani, kitu hai kinapokufa na kuanza kunuka, au sehemu ya kitu hai inapoanza kuwa mbaya.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuoza kwa kitu?

kuoza, kuvunda

(2) Maneno gani huelezea kitu kinachooza?

rotten, decayed, moldy, mildewed, putrid, rotted, carious,

(3) Maneno gani hutaja chakula kikioza?

go bad, go off, go stale, go sour, spoil, taint,

(4) Maneno gani huelezea chakula kinachooza?

rotten, bad, stale, moldy, sour, rancid, off, tainted,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuozesha kitu?

rot,

(6) Maneno gani hutaja utaratibu wa kuoza?

decay (n), corruption, decomposition, putrefaction,

(7) Maneno gani hutaja sehemu ya kitu inayooza?

decay (n), rot (n), canker, caries, carrion, dry rot,

(8) Maneno gani hutaja kitu kikiliwa na wadudu?

eaten by insects, infested with termites, moth-eaten

8.3.7.9 Thamani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na thamani ya kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja thamani ya kitu fulani?

value, price, worth

(2) Maneno gani hutaja tendo la kutathmini thamani ya kitu fulani?

evaluate, evaluation, value (v),

(3) Maneno gani huelezea kitu kinachotathmini kuwa kizuri?

good, valuable, worthy, advantageous, important, useful, dear

(4) Maneno gani huelezea kitu kinachotathminni kuwa kibaya?

bad, worthless, unworthy, unimportant, useless

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuongeza thamani ya kitu fulani?

increase in value, inflate, inflation, appreciate

(6) Maneno gani hutaja tendo la kupunguza thamani ya kitu fulani?

decrease in value, debase, degrade, deflate, deflation, depreciate

8.3.8.1 Sahili, rahisi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho sahili au rahisi

(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho sahili na hakina mapambo mengi?

simple, plain, bare

8.3.8.2 Fahari


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea sura ya kitu kinachopendeza sana na kusababisha heshima na mshangao, k.m. jumba la mfalme, hekalu lililorembwa au machweo yenye rangi nyingi.

(1) Maneno gani huelezea sura ya kitu inayopendeza na kusababisha heshima?

glory, glorious, magnificent, splendor, resplendent, awe inspiring, wonderful, grand, great

8.3.8 Kupambika


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu ambacho kimepambika.

(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimepambika?

decorated, adorned, bedecked, bejewelled, decked, embellished, festooned, hung, ornamented, studded,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kupamba kitu fulani?

decorate, adorn, bedeck, deck, embellish, festoon, ornament, gild,

(3) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika kupamba kitu fulani?

decoration, adornment, embellishment, ornament,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   175   176   177   178   179   180   181   182   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page