8.3.5.6 Kunakili
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kunakilia kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kunakilia kitu fulani?
• copy (v), make a copy of, duplicate, photocopy, reduplicate, reproduce, clone, replicate, triplicate,
(2) Maneno gani hutaja nakala ya kitu fulani?
• copy (n), duplicate, photocopy, duplication, clone, replica, reproduction,
8.3.5 Aina, namna
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kitu kuwa aina fulani ya kitu, au hali ya kuwa kitu cha jamii fulani.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani ni cha jamii fulani ya vitu?
• be, be a kind of, be a type of, be a member of, include
(2) Maneno gani hutaja jamii au kundi la kitu?
• kundi, daraja, aina
(3) Maneno gani hutaja mwanajumuiya wa jamii fulani?
• kind (of), type (of), member (of), example (of), sort (of), such
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu katika jamii fulani?
• kuainisha, uainishaji
Page 8.3.6.1 Iliyo na nguvu, dhaifu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kama kitu fulani kinaweza kuvunjika au kupindika kwa urahisi.
(1) Maneno gani huelezea kitu kisichovunujika kwa urahisi?
• strong, strength, tough, substantial
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho huvunjika kwa urahisi?
• dhaifu, udhaifu, nyepesi kuvunjika
8.3.6.2 Ngumu, thabiti
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho kigumu -- yaani, hakivunjika ua kukatika kwa urahisi.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho kigumu?
• ngumu
(2) Maneno gani hutaja tendo la kitu kusababishwa kuwa thabiti?
• harden, set, stiffen up
(3) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe thabiti?
• kuthibitisha, kushupaza, kufanya madhubuti
8.3.6.3 Nzito, yenye kupindika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho kizito -- yaani, siyo rahisi kukipinda.
(1) Maneno gani huelezea kitu kisichopindika kwa urahisi?
• stiff, strong, inflexible, unbendable, unbending, rigid, brittle, crisp, crispy,
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho hupindika kwa urahisi?
• flexible, flexibility, flimsy, pliable, bendable, weak,
(3) Maneno gani hutaja hali ya kitu kusababishwa kuwa kizito?
• stiffen, rigidify
8.3.6.4 Nzito
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho kizito kwa msongamano.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho kizito kwa msongamano?
• nzito, nene, msongamano
(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe kizito kwa msongamano?
• compress, consolidate, consolidation
(3) Maneno gani huelezea kitu kisicho kizito kwa msongamano?
• thin, porous, spongy, hollow, tenuous, rare
(4) Maneno gani hutaja tendo la kupunguza uzito wa msongamano wa kitu fulani?
• thin, rarefy
8.3.6.5 Nyororo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho chororo.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho chororo?
• nyororo, laini, nyepesi kudhurika
(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe chororo?
• kulainisha, kupunguza (ukali)
8.3.6 Nyenzo, kutenganezwa na
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nyenzo inayotumika kutenganeza kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kitu kutenganezwa na nyenzo fulani?
• be made of, consist of, be made up of, be composed of, made out of, made with, made from,
(2) Maneno gani hutaja hali ya kitu kuwa na nyenzo fulani?
• have something in it, contain,
(3) Maneno gani hutaja nyenzo inayotumika kutenganeza kitu fulani?
• material, composition, stuff, substance,
(4) Maneno gani huonyesha nyenyzo inayotumika kutenganeza kitu fulani?
• out of, with, from, of,
8.3.7.1 Mbaya
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho kibaya.
(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho sifa zake ni mbaya?
• bad, no good, lousy, unpleasant, cheap, severe, terrible, abject, mean, low, base, infamous, ignoble, irregular,
8.3.7.2.1 Mbaya zaidi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho kibaya zaidi kuliko kingine.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho kibaya zaida kuliko kingine?
• mbaya zaidi, upungufu, pungufu ya, kuongezeka (ubaya)
(2) Maneno gani hutaja hali ya hali ya kitu kuwa mbaya zaidi na zaidi?
• degenerate, deteriorate
8.3.7.2 Bora
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho kizuri zaidi kuliko kingine.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho bora kuliko kingine?
• bora, afadhali, kupita, kushinda, kuzidi kiwango
8.3.7.3 Iliyokamilika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho kikamilifu.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho kikamilifu?
• kamili, kamilifu, kukamilika, timilifu, bila kasoro
(2) Maneno gani huelezea kitu kisicho kikamilifu?
• imperfect, flawed
8.3.7.4 Ya kadiri
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kisicho chema wala kibaya.
(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho siyo chema wala kibaya?
• ya kadiri, isiyo mbaya sana, wastani
8.3.7.5.1 Ya msingi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho cha msingi.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho cha msingi?
• basic, fundamental, essential, central
8.3.7.5 Muhimu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho cha muhimu.
(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni cha muhimu?
• muhimu, ya muhimu, yenye muhimu
Share with your friends: |