Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page185/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   181   182   183   184   185   186   187   188   ...   206

Page

8.4.6.1.1 Mwanzo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la jambo fulani kuanza kutokea, kuanza kufanya jambo fulani, kusababisha jambo fulani lianze kutokea, au kusababisha watu waanze kufanya jambo fulani.

(1) Maneno gani hutumika kuonyesha kwamba jambo fulani limeanza?

begin, start, commence, initiate, to institute,

(2) Maneno gani hutaja muda ulipoanza kutokea jambo fulani?

beginning, the start, commencement, inception, at first, initially, originally,

(3) Watu husema nini wanapotaka mwingine aanze kufanya jambo fulani?

go, dig in, have at it, let's go, let's do it, move it, let's get going, "on your marks, get set, go", "ready, set, go"

(4) Mtu anayeanzisha jambo fulani huitwaje?

initiator, founder, originator, starter

(5) What words indicate that some state has begun?

achieve, appear, arrive, attain,

8.4.6.1.2 Kuachisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mwisho wa tendo au tukio.

(1) Maneno gani (vitenzi visivyokubali kuwa na mtendwa) huonyesha kwamba jambo fulani limekwisha kutokea?

stop, come to rest, halt, come to a screeching halt

(2) Maneno gani (vitenzi vinavyokubali kuwa na mtendwa) huonyesha kwamba mtu anaachisha jambo fulani?

end (something), stop (something), stanch (flow of blood), obstruct (justice), arrest (progress), halt (traffic), impede (progress), inhibit (flow), delay (someone/event), hold up (traffic), detain (someone), discontinue (product), suspend (action), terminate (someone's life), conclude (story), cease (hostilities), desist from (doing something), bring closure to (something), curtail,

(3) Maneno gani hutaja tukio la kuachisha au kuisha?

halt, standstill, pause, discontinuance, stoppage, stay, closure

(4) Mambo huishia wapi?

stopping place, station

(5) Zana gani hutumika kwa kuachisha au kusimamisha vitu?

brake, catch, skid

(6) Watu husema nini wanapotaka mwingine asimame?

Halt! Stay! Cease and desist! Belay that order! Avast!

(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo huwezi kutolifanya?

compulsive,

(8) Maneno gani huonyesha kwamba hali au tukio fulani limeisha?

cease, finish, stop,

(9) Maneno gani hutaja tendo la kuisha polepola?

fade away, wear off, go away, die away,

8.4.6.1.3 Mwisho


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mwisho wa tukio au hali fulani.

(1) Maneno gani hutaja mwisho wa jambo fulani?

end, finish, conclusion, consummation, culmination, denouement, expiration, finale, homestretch, last, outcome, termination, terminus, terminal, conclusion, time is up, that is all,

8.4.6.1.4 Mpaka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba jambo fulani litaendelea kutokea mpaka muda fulani au mpaka jambo lingine litakapotokea na halafu litaisha.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani litaendelea kutokea mpaka jambo lingine litakapotokea?

(In written English a hyphen is used to indicate that something happens from one time until another time, as in "8:00-5:00" or "Monday-Friday".)

(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani halitatokea mpaka jambo lingine litakapotokea?

until, wait until,

8.4.6.1.5 Tangu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba jambo fulani litaanza kutokea katika muda fulani na litaendelea kutoka kwa muda fulani.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linaanza kutokea baada ya muda fulani na halafu kuendelea?

starting, from, as from, after that,

(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani limeshaanza na linaendelea mpaka sasa?

since, ever since, for, from, starting from, from that time on, thereafter,

(3) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linaanza kutokea sasa na litaendelea?

from now on, from this time forward, starting now, starting from now, effective immediately, henceforth,

(4) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani litaanza baadaye na litaendelea?

from then on, starting then,

8.4.6.1 Kuanzisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuanzisha jambo fulani, au kwa tukio fulani likianza kutokea.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuanzisha jambo fulani?

start, launch, open, initiate, set in motion, get things moving, start the ball rolling, begin,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuanzisha jambo fulani kirasmi, k.m., sheria mpya au njia mpya ya kufanya jambo fulani?

introduce, bring in, phase in,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuanzisha shirika?

start, start up, open, set up, establish, found, inception,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kitu kuanzisha mfuatano wa mambo wa asili?

start, activate, set off,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuanzisha jambo fulani tena baada ya kuachishwa?

restart, bring back, reintroduce, revive, restore, resurrect,

8.4.6.2.1 Hivi karibuni


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba jambo limetokea hivi karibuni -- yaani, muda uliopita lakini muda mfupi kabla ya sasa.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba tukio fulani limetokea muda mfupi uliopita?

recently, not long ago, a short time ago, newly, freshly, a little while back, a short while ago, a little while ago,

(2) Maneno gani huonyesha kwamba tukio fulani limetokea muda mfupi sana uliopita?

just, only just, a moment ago, a minute ago, just this minute, barely, scarcely, hardly,

(3) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani limekuwa linatokea mpaka sasa?

recently, lately, in recent weeks/months, in the last/past few weeks/months, for the last/past few weeks/months,

(4) Maneno gani huelezea tukio ambalo limetokea hivi karibuni?

recent, latest,

(5) Maneno gani huelezea habari ya jambo ambalo limetokea hivi karibuni?

latest, up-to-date, up-to-the-minute,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   181   182   183   184   185   186   187   188   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page