Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page183/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   179   180   181   182   183   184   185   186   ...   206

8.4.5.1 Taratibu, ufuatano


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja taratibu au ufuatano wa muda--yaani kundi la matukio yanatokea katika ufuatano fulani. Vitu na watu wanaweza kuwa katika ufuatano fulani kutokana na mambo kama mwaka waliooa au umri wao.

(1) Maneno gani hutaja mfululizo au ufuatano wa kundi la matukio?

order, sequence, cycle, pattern, rota, order of events,

(2) Maneno gani hutaja kundi la matukio yanayotokea katika ufuatano?

sequence, series, succession, chain, course, progression,

(3) Maneno gani hutaja kundi la vitu katika ufuatano?

series, lineup, queue,

(4) Maneno gani huelezea kundi la vitu ambavyo vimewekwa katika ufuatano fulani?

be in order, ordered, in sequence, be the right way round, in chronological order, chronological, consecutive, consecutively, successive, in succession, one after another, one after the other, (three years) running, sequential,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kufanya mambo katika ufuatano fulani?

in order, take turns,

(6) Maneno gani hutaja taratibu fulani ambayo katika yake wanakikundi hufuatana?

ya kwanza, inayofuata, baada ya, ya mwisho, mwishoni

(7) Maneno gani huelezea kundi la vitu ambavyo havijawekwa katika taratibu au ufuatano fulani?

unordered, out of sequence

(8) Maneno gani hutaja kundi la vitu vilivyo katika ufuatano mbaya?

be out of order, be in the wrong order, be the wrong way round, backwards,

(9) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimeachwa katika taratibu au ufuatano wa vitu?

gap

(10) Katika Kiswahili 'ufuatano' unaweza kuonyeshwa kwa kutumia kirai cha kitenzi kama vifuatavyo: "mtoto unaofuata" au "mwaka uliopita" Ikiwa sahihi kufanya hivyo katika lugha yako, toa mifano?

(11) Katika Kiswahili 'ufuatano' unaweza kuonyeshwa kwa kutumia kirai kama vifuatavyo: "mtoto wa kwanza" au "mti wa pili." Ikiwa sahihi kufanya hivyo katika lugha yako, toa mifano?

be,

(12) In English 'Order' can be expressed by a noun phrase with the 'Item' marked by 'of'.

of,

8.4.5.2.1 Baada ya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tukio moja likitokea baada ya lingine.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea baada ya tukio au saa fulani?

after, afterward, afterwards, later, later on, subsequently, after that, beyond that, hence,

(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea baada ya kipindi fulani cha muda?

after, within, in, from now,

(3) Maneno gani huelezea jambo linalofuata jambo lingine?

next, following, later, subsequent, succeeding, ensuing, after, future, consequent, latter,

(4) Maneno gani hutaja tendo la jambo moja kutokea baada ya lingine?

follow, come after, ensue, follow-up, be after,

(5) Maneno gani hutaja matukio yanayotokea baada ya tukio fulani?

sequel, aftermath, what follows,

(6) Maneno gani humtaja mtu anayechukua kazi fulani baada ya mtu mwingine kuiacha?

successor, next in line, succeed,

(7) Maneno gani hutaja kitabu au filamu inayofuata nyingine?

sequel,

(8) Maneno gani huonyesha kwamba jambo moja linatokea baada ya lingine katika mfululizo?

after, next, later, further on,

(9) Maneno gani huonyesha kwamba jambo halitafanyika sasa, lakini litafanyika baadaye?

later, it can wait, it will wait,

(10) Maneno gani hutumika katika kuunga matukio wakati wa kusimulia hadithi?

and, and then, then, having...-en, after, thereafter, thereon, thereupon, whereupon, upon,

8.4.5.2.2 Kutokea pamoja


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja matukio mawili yakitokea pamoja (au muda huohuo).

(1) Maneno gani huonyesha kwamba mambo mawili yanatokea pamoja (au muda huohuo)?

at the same time, together, at one time, at once, simultaneously, at the same instant, in concert, in unison,

(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea pamoja na jambo lingine (yaani yanatokea muda huohuo)?

at the same time as, meanwhile, while, as, -ing, simultaneity, concurrently, coincident,

(3) Maneno gani hutaja mambo mawili yakitokea pamoja (au muda huohuo)?

coincide, clash,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kupanga matukio mawili ili yatokee pamoja (au muda huohuo)?

synchronize, tie something in with,

(5) Maneno gani huelezea mambo yanayotokea pamoja (au muda huohuo)?

simultaneous, synchronized, parallel, synchronous, contemporaneous, concurrent,

(6) Maneno gani huwataja watu wawili walioishi katika kipindi kilekile?

contemporary, be a contemporary of someone, be contemporaries

8.4.5.2.3 Wakati wa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba jambo lilitokea wakati wa kipindi fulani, au kwamba jambo lilitokea wakati jambo lingine lilitokea.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo lilitokea wakati wa kipindi fulani?

during, in, in the course of, during the course of, through, throughout, over, by day, by night, during the middle of, in the interim, within

(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo lilitokea wakati jambo lingine lilitokea?

while, meanwhile, in the meantime,

8.4.5.2 Kabla ya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tukio moja likitokea kabla ya lingine.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea kabla ya tukio fulani?

before (conj), prior to, on the eve of, pre-,

(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea kabla ya sasa au kabla ya saa fulani?

before (adv), earlier, formerly, previously, ago, already,

(3) Maneno gani huonyesha kwamba mtu anafanya jambo kabla ya tukio fulani?

beforehand, in advance, advance, prior,

(4) Maneno gani huonyesha kwamba ni lazima jambo lifanyike kabla ya saa fulani?

before, by, not later than, at the latest,

(5) Maneno gani hutaja jambo ambalo limewahi kutokea?

antecedent, precedent, precedence, the one before,

(6) Maneno gani huelezea jambo ambalo limewahi kutokea?

previous, old, last (adj), earlier, former, prior, preceding, recent, preliminary,

(7) Maneno gani huelezea muda unaotangulia mwingine?

previous (day), last (night), the (week) before, the preceding (year)

(8) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linatokea kabla ya lingine katika mfululizo?

before, in front of, ahead of,

(9) Maneno gani huelezea jambo linalotokea kabla ya lingine katika mfululizo?

previous, preceding, earlier, the one before,

(10) Maneno gani hutaja jambo linalotokea kabla ya lingine?

come before, precede, predate, lead up to, come first, be before, be a prelude to, anticipate, antedate,

(11) Maneno gani hutaja tendo la jambo moja kutangulia lingine katika mfululizo?

come before, precede,

(12) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo kabla mwingine hajalifanya?

do something first, be first, beat someone to it, ahead of, be ahead of your time,

(13) Maneno gani humtaja mtu au kitu ambacho kilikuwepo kabla ya kingine?

predecessor, forerunner, precursor, ex-(wife/president),

(14) Maneno gani huelezea jambo lililotajwa kabla ya sasa?

above, aforementioned, foregoing,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   179   180   181   182   183   184   185   186   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page