Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi


Cha zamani, kisicho kipya



Download 2.8 Mb.
Page187/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   183   184   185   186   187   188   189   190   ...   206

8.4.6.5.4 Cha zamani, kisicho kipya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kizee--yaani maneno yanayoelezea kitu ambacho kimekuwepo kwa muda mrefu.

(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni cha zamani?

ya zamani, ya kale, ya muda mrefu, kongwe

(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni cha zamani sana?

age-old, be as old as the hills, ancestral, ancient, be around from time immemorial,

(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni cha zamani na kinahusu katika kipindi cha zamani cha historia?

primeval, antediluvian, mediaeval, primordial,

(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni cha zamani na bado kizuri?

antique, classical, time-honored, vintage,

(5) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni cha zamani na si kizuri?

crumbling, declining, decrepit, dowdy, effete, faded, past its prime, rusty, worn out,

(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimetumika na tayari si kipya?

old, used, second hand, worn, time-worn,

(7) Maneno gani huelezea chakula ambacho ni cha zamani?

stale, decayed,

(8) Maneno gani huelezea shirika amalo limekuwepo kwa muda mrefu?

old, has a long history,

(9) Maneno gani huelezea kitu ambacho kinafahamika na watu kwa muda mrefu?

old hat,

(10) Maneno gani huelezea maarifa au hisia ambayo imewahi kukutokea?

familiar,

(11) Maneno gani huelezea mtu ambaye amekaa mahali fulani kwa muda mrefu au amefanya kazi kwa muda mrefu?

old-timer, old hand, no stranger (to these parts),

(12) Maneno gani hutaja kitu ambacho ni cha zamani kuliko vitu vingine vinavyofanana nacho?

outgrow, outlive, outwear,

(13) Maneno gani huelezea kitu au mtu ambaye nafasi yake imechukuliwa na mtu au kitu kipya?

old, former,

(14) Maneno gani hutaja tendo la kubadilisha kitu kipya kiwe kama ni cha zamani?

antique (v), antiquate, give something an antique look,

(15) Maneno gani hutaja kitu ambacho ni cha zamani?

antique, antiquities,

8.4.6.5.5 Cha kisasa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu cha kisasa--maneno yanayoelezea vitu kama mashine, mfumo, au nchi ambayo inatumia vifaa, mawazo, na mbinu za kisasa.

(1) Maneno gani huelezea mashine au mfumo wa kisasa?

modern, up-to-date, advanced, sophisticated, high-tech, state-of-the-art, be ahead of its time, at the leading edge of, at the cutting edge of,

(2) Maneno gani huelezea nchi ya kisasa?

advanced, developed,

(3) Maneno gani huelezea mtu au shirika la kisasa?

progressive, innovative, forward-looking, move with the times, go-ahead,

(4) Maneno gani huelezea sanaa, fasihi, au muziki ya kisasa?

contemporary, avant-garde, futuristic,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kubadilisha kitu kiwe cha kisasa?

modernize, bring something up to date, update,

8.4.6.5.6 Kisicho cha kisasa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kisicho cha kisasa--jambo lililofanyika au lililotumika vipindi vya zamani, lakini siyo sasa.

(1) Maneno gani huelezea kitu kisicho cha kisasa?

old-fashioned, unfashionable, antiquated, archaic, outdated, out of date, outmoded, outworn,

(2) Maneno gani huelezea kitu kisicho cha kisasa na tayari hakitumiki?

antiquated, dated, fusty, early type/form of, obsolete, primitive,

(3) Maneno gani huelezea wazo au njia ya kufanya jambo ambayo si ya kisasa?

old, customary, inveterate, passé, traditional, tried and true, well-trodden,

(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni cha zamani sana kiasi kwamba watu wanafikiri ni jinga?

medieval, out of the ark, dinosaur, anachronism, archaic,

(5) Maneno gani huelezea kitu kisicho cha kisasa lakini watu bado wanakipenda?

quaint, old-time, of the old school, olde worlde,

(6) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimeanza kutokuwa cha kisasa?

be on the way out, fall into disuse,

(7) Maneno gani hutaja hali ya kufanya jambo lisiwe la kisasa kwa kufanya jambo hilohilo kwa njia mpya?

antiquate, render obsolete,

(8) Maneno gani humwelezea mtu ambaye si wa kisasa katika mawazo na matendo yake?

old fashioned, be behind the times, be living in the past, reactionary, straitlaced,

(9) Maneno gani humtaja mtu asiye wa kisasa?

fuddy-duddy, old fogy, old guard, traditionalist,

8.4.6.5 Umri


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na umri wa kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja umri wa kitu fulani?

age, how old,

(2) Maneno gani hutumika kutaja umri wa mtu fulani?

be (ten), be (ten) years old, be (ten) years of age, aged (ten), (a boy) of (ten), (ten)-year-old, have turned (ten),

(3) Maneno gani hutumika kutaja umri wa kitu fulani?

be (ten) years old, (ten)-year-old,

(4) Maneno gani huelezea jambo lililo na umri uleule wa lingine?

the same age,

(5) Maneno gani hutaja watu wote wa umri mmoja?

generation, age group, the under-(ten)s, the over-(ten)s

(6) Maneno gani hutaja tendo la kugundua umri wa jambo fulani?

date (v), establish the date of, determine the age of

8.4.6.6.1 Tena


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jambo likitokea tena au tendo la kufanya jambo tena.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba tukio hutokea tena?

again, once again, once more, yet again, one more time, afresh, fresh, another time, another time

(2) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo tena?

do something again, repeat, redo, over, all over again,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kurudia kufanya jambo ambalo ulikuwa unafanya kabla ya hapo?

return to, go back to, get back to, resume, resumption, bring back, revive, revival,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kuhitaji kuanza jambo tena kutoka mwanzo wake?

back to square one, make a fresh start,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kurudi kwa hali hiyohiyo ambayo ulikuwa nayo kabla ya hapo?

again, once more,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kuandika mtihani tena?

retake, resit,

(7) Maneno gani hutaja jambo unalofanya tena?

repetition,

(8) Maneno gani huonyesha kwamba jambo linafanyika mara nyingi?

repeated, repeatedly, recurrent, recurring, repetitive, again and again, over and over again, always, never stop,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   183   184   185   186   187   188   189   190   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page