Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page135/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   131   132   133   134   135   136   137   138   ...   206

6.8.3 Kugawa utajiri


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kugawa utajiri na wengine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kugawa utajiri au mali na wengine?

kugawa (utajiri), kushirikisha

6.8 Mambo ya fedha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mambo ya fedha.

(1) Maneno gani hutaja mambo ya fedha kwa jumla?

fedha

Page

6.8.4.1 Kununua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kununua kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kununua kitu fulani?

kununua

(2) Maneno gani humtaja mtu anayenunua kitu fulani?

buyer, customer

(3) Maneno gani hutaja kitu kilichonunuliwa?

purchase, merchandise, goods

6.8.4.2 Kuuza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuuza kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuuza kitu fulani?

kuuza

6.8.4.3.1 Bei ghali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na bei ghali.

(1) Maneno gani hutaja bei inayoonekana kuwa kubwa?

expensive, high, dear, costly

6.8.4.3.2 Bei rahisi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na bei rahisi.

(1) Maneno gani hutaja bei inayoonekana kuwa dogo?

cheap, low, inexpensive, great price, bargain, on sale, deal (n)

6.8.4.3.3 Bure


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitu fulani kilicho bure--yaani, kitu fulani unachoweza kuwa nacho bila kulipa hata kidogo.

(1) Maneno gani hutaja kitu fulani kilicho bure?

free, free of charge, cost nothing, complementary, no charge

6.8.4.3 Bei


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na bei ya kitu fulani--yaani, kiasi cha pesa kinachohitajika kwa kununua kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja bei ya kitu fulani?

cost, price, value, charge, rate, wage, expense,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kupanga bei ya kitu fulani?

kupanga bei, kupandisha bei, kupunguza bei, ghali, rahisi

(3) Maneno gani hutumika katika kuuliza bei ya kitu fulani?


6.8.4.4 Mapatano ya bei


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mapatano ya bei.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupatana juu ya bei?

kupatana bei, kujadiliana juu ya bei

6.8.4.5 Kulipa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kulipa pesa kwa kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kulipa pesa kwa kitu fulani?

kulipa, malipo

(2) Maneno gani hutaja karatasi inayoelezea pesa inayodaiwa?

bill

(3) Maneno gani hutaja karatasi inayoelezea kwamba umeshalipa kwa kitu fulani?

receipt, ticket

6.8.4.6 Kukodi, kupanga


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukodi au kupanga kitu fulani--yaani, kulipa pesa ili utumie kitu fulani ambacho ni mali ya mwingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukodi kitu fulani?

hire, rent, hireling, rental, to contract out, subcontract, tenancy

(2) Maneno gani hutaja kitu fulani ambacho kimekodiwa?

hired hand, employee

(3) Maneno gani humtaja mtu fulani anayepanga nyumba?

tenant

6.8.4.7 Kutumia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutumia pesa.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutumia pesa?

kutumia

(2) Maneno gani hutaja tendo la kutumia pesa nyingi?

spend a lot, go to great expense, spare no expense, shell out, go through, eat up

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutumia pesa ovyoovyo?

squander, blow, waste, scatter

(4) Maneno gani humwelezea mtu anayetumia pesa nyingi ovyoovyo?

extravagant, spendthrift, big spender

(5) Maneno gani hutaja hali ya kutotumia pesa nyingi?

economize, scrimp and save, budget, tighten your belt, live on a shoestring

(6) Maneno gani humwelezea mtu asiyetumia pesa nyingi?

thrifty, economical, frugal, careful with your money

(7) Maneno gani huelezea kiasi cha pesa unachotumia?

expenses, expenditure, spending, outlay, overhead, costs, budget

6.8.4.8 Soko, duka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na soko au duka, mahali ambapo vitu vinauzwa.

(1) Maneno gani hutaja mahali ambapo vitu vinauzwa?

soko, duka

(2) Maneno gani humtaja mtu anayeuza vitu?

salesman, clerk, shopkeeper, storekeeper

6.8.4.9 Biashara, uchuuzi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na biashara au uchuuzi wa vitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kubadilishana?

kubadilishana, biashara, uchuuzi

6.8.4 Shughuli za kifedha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na shughuli za kifedha.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja shughuli za kifedha kwa jumla?

shughuli za fedha, mapatano ya kifedha

Page

6.8.5.1 Kukopesha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukopesha pesa au kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukopesha pesa au kitu fulani?

kukopesha

6.8.5.2 Kuweka rehani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuweka kitu rehani ili kulipia mkopo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu rehani ili kulipia mkopo?

kuweka rehani

6.8.5.3 Kuwiwa, kudaiwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuwiwa au kudaiwa pesa.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kudaiwa pesa?

owe, be in debt, have a debt, heavily in debt

(2) Maneno gani hutaja pesa unayoidai?

debt, indebtedness,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   131   132   133   134   135   136   137   138   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page