1.2 Dunia
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayotaja sayari tunayoishi juu yake.
(1) Maneno gani hutaja sayari tunayoishi juu yake?
• dunia, ulimwengu, mahali pa nchi kavu
(2) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na dunia hii?
• earthly, terrestrial
(3) Maneno gani huelezea kitu kinachoathiri dunia nzima?
• world (adj), global, worldwide, universal
(4) Maneno gani hutumika kuzungumzia dunia nzima, nchi zote, au watu wote?
• the whole world, the entire earth, all over the world, round the world,
(5) Maneno gani hutaja sehemu ya dunia?
• hemisphere, North Pole, South Pole, pole, polar, polar cap, equator, tropics, tropical, continent, time zone, the Third World, the West, the East, Orient
(6) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa dunia hii?
• geography, geographical, geographer, geology
Page 1.3.1.1 Bahari, ziwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja maumbo ya maji yanayotwama--yaani yasiyotiririka.
(1) Maneno gani hutaja maumbo ya maji yanayosimama yenye ukubwa tofauti?
• bahari, ziwa, bwawa, dimbwi
(2) Maneno gani hutaja ziwa lililotengenezwa na watu?
• birika, ziwa lililochimbwa, hodhi, tangi la maji
(3) Sehemu za maumbo ya maji zinaitwaje?
• sura ya juu, vina vya chini, kilindini
(4) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa bahari?
• oceanography
1.3.1.2 Ziwa la matope
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja maumbo ya maji yanayotwama ambayo mimea inaota ndani yake.
(1) Maneno gani hutaja maumbo ya maji yanayotwama ambayo mimea huota ndani yake?
• bwawa, kinamasi, ziwa la matope, mlango wa mto
(2) Maneno gani huelezea eneo ambalo ni ziwa la matope?
• swampy, marshy, boggy
(3) Maneno gani hutaja kujaribu kutembea kupita ziwa la matope?
• get bogged down, sink
1.3.1.3 Mto
Tumia eneo la maana hili kwa ajili ya maneno ambayo hutaja maumbo ya maji yanayotiririka au kutembea.
(1) Maneno gani hutaja mito yenye tofauti za ukubwa?
• mto, kijito, mkondo wa maji, korongo, mfereji, mvo
(2) Maneno gani hutaja mto mwenye maji mengi?
• mbubujiko wa nguvu, mafuriko ya ghafla, mto umefurika pembezoni mwake
(3) Maneno gani hutaja mto unaobubujika kando zake?
• overflow its banks, flood, deluge
(4) Maneno gani hutaja mito miwili yanayokutana?
• branch, confluence, fork, tributary
(5) Maneno gani hutaja sehemu ya mto ulio na teremko kali au poromoko?
• waterfall, falls, rapids, cascade, cataract, spillway, race
(6) Sehemu za mto zinaitwaje?
• chanzo, chini ya mto, bonde la mto, ukingo wa mto, kando ya mto, maporomoko, mzunguko wa maji, mtoto wa mto, tawi la mto
(7) Maneno gani hutaja mto wakati hauna maji?
• korongo, mto uliokauka
(8) Maneno gani hutaja mto uliotengenezwa na watu?
• canal
(9) Maneno gani hutaja mahali pa kuvukia mto?
• daraja, kivuko
(10) Maneno gani hutaja kitu kinachoelea kwenye mto au kinachokwama kwenye mto?
• flotsam, snag, logjam
(11) Maneno gani hutaja udongo, mchanga au mawe yaliyoporomoshwa na mto?
• sandbar, delta, alluvium, alluvial, silt,
(12) Maneno gani hutaja eneo la nchi fulani inayohudumiwa na mto (yaani maji yote yanatoka eneo hilo kwa kupitia mto huo)?
• watershed, basin
(13) Maneno gani hutaja kutiririka kwa mto?
• current, flow
1.3.1.4 Chemchemi, kisima
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mahali ambapo maji hutoka katika ardhi.
(1) Maneno gani hutaja mahali ambapo maji hutoka katika ardhi?
• chemchemi, kisima
(2) Maneno gani hutaja maji yanapotoka katika ardhi?
• spring up, well up, bubble up, flow out of
1.3.1.5 Kisiwa, pwani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja nchi kavu ukilinganisha na bahari au mto.
(1) Maneno gani hutaja nchi kavu ukilinganisha na bahari?
• land (and sea), dry land, mainland, continent, inland, interior, terrestrial
(2) Maneno gani hutaja kisiwa?
• island, isle, islet, archipelago, atoll, key
(3) Maneno gani hutumika kutaja ukingo wa ziwa au bahari?
• pwani, makupwa, ufukweni, ghuba, mwambao
(4) Maneno gani hutaja ghuba?
• bay, gulf, cove, fjord, harbor, inlet, lagoon, sound, strait, port,
(5) Maneno gani hutaja pembezoni (yaani eneo la nchi kavu linalozungukiwa na maji kwenye pande tatu)?
• peninsula, promontory, cape
(6) Maneno gani hutumika kutaja kingo za mto?
• kingo za mto, fungu la mchanga
(7) Maneno gani huelezea kitu kilicho karibu na umbo la maji?
• seaside, beachfront, lakeside, bordering
(8) Maneno gani hutaja mahali ambapo maji ni mafupi au kame?
• kipwa
1.3.1 Maumbo ya maji
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno ambayo hutaja maumbo ya maji au mahali penye maji kwa jumla.
(1) Maneno gani hutaja mahali penye maji kwa jumla?
• umbo la maji, umati wa maji, vituo penye maji
(2) Maneno gani hutaja kitu kinachohusiana na mahali fulani penye maji?
• marine, oceanic, riverine
1.3.2.1 Kutiririka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jinsi maji yanavyoenda juu ya uso wa kitu, kama vile mtoni au ardhini.
(1) Maneno gani hutaja maji yanapoenda juu ya uso wa kitu?
• flow, run, stream, current, rise, fall, flood, overflow, to wind, meander, erode, split, merge, roil, surge, torrent, trickle, effluence, spread, permeate,
(2) Maneno gani hutaja maji yanapoenda mtoni?
• flow, current, whirlpool
(3) Maneno gani hutaja maji yanapoondoa uchafu?
• mmomonyoko, kubomoa, kuondolea mashapo ya mto
(4) Maneno gani hutaja maji yanapovuja kutoka katika kitu?
• drain, bleed, discharge, draw off, empty, leak, ooze, strain,
Share with your friends: |