1.3.2.2 Kumimina
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja maji yanapotoka katika kitu (kama vile chombo), au kusababisha maji yatoke katika kitu.
(1) Maneno gani hutaja maji yanapotoka katika kitu?
• pour, come out, flow, drip, leak, ooze, gush, spurt, squirt
(2) Maneno gani hutaja tendo la kumimina maji kutoka katika chombo?
• pour, tip, sprinkle, empty, spill, decant
(3) Maneno gani hutaja kutia maji kwenye kitu?
• water (v), add water, put water on,
(4) Maneno gani hutaja kutia matone ya maji kwenye kitu?
• sprinkle (with water), splash (water on), spray (water on), drizzle, spatter, splatter, squirt,
(5) Maneno gani hutaja kutia maji mengi kwenye kitu?
• pour (out), empty (v), dump (out), douse, drench, pump,
(6) Maneno gani hutaja kutia maji kwenye kitu kwa bahati mbaya?
• spill
(7) Maneno gani hutaja kutia maji ndani ya kitu?
• inject,
1.3.2.3 Kudondoka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja matone ya maji na namna yanavyofanya.
(1) Tone la maji linaitwaje?
• tone (la maji/la damu), tone moja linalodondoka
(2) Matone ya maji yanafanya nini?
• kutiririka, kudondoka, kunyunyiza, kupiga
(3) Kudondoka taratibu kunaitwaje?
• kudondoka, kuchuruzika
1.3.2.4 Wimbi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mawimbi na jinsi yanavyofanya.
(1) Aina za mawimbi zinaitwaje?
• wimbi, kiwimbi, mawimbi ya kuumuka, mawimbi ya kujaa na kupwa, wimbi lenye povu, kabobo, mawimbi meupe
(2) Sehemu za wimbi zinaitwaje?
• kilembwa, mshuko wa wimbi, povu, kiputo
(3) Maneno gani huelezea mwendo wa wimbi?
• kuumuka, kusukuma, kukimbizana na upepo, ujeuri wa mawimbi
(4) Mawimbi yanafanyaje yanapogonga pwani?
• kupiga pwani, kugonga pwani
(5) Maneno gani huelezea wimbi linaloongezeka?
• kuvimba, kupanda juu, kuinuka
(6) Mawimbi hufanya nini na vitu?
• kumomonyoa, kufanya mmomonyoko, kuinua na kuangusha
(7) Watu hufanyia nini mawimbi?
• kujirusha ndani ya mawimbi, kuendesha mbao juu ya mawimbi
(8) Mawimbi hutoa sauti gani?
• ngurumo, kishindo
1.3.2.5 Utulivu, msukosuko
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea sura ya juu ya maji.
(1) Maneno gani huelezea sura ya juu ya maji wakati yametulia?
• utulivu, kimya, kutulia, hali ya amani
(2) Maneno gani huelezea sura ya juu ya maji wakati yamechafuka?
• msukosuko, mchafuko wa bahari, dhoruba
(3) Maneno gani huelezea mwendo wa mto wakati unakwenda taratibu?
• polepole, kutiririka taratibu
(4) Maneno gani huelezea mwendo wa mto wakati unakwenda kasi?
• kutiririka kwa kasi, kuporomoka, kufuata mkondo wa nguvu
(5) Maneno gani hutaja kufanya maji yasukesuke?
• agitate, churn, stir, whip
1.3.2.6 Mawimbi (maji kujaa na kupwa)
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maji kujaa na kupwa.
(1) Maneno gani hutaja maji yanayojaa na kupwa?
• maji kujaa, maji kupwa, bamvua, maji yanayoinuka
(2) Maji yanayojaa na kupwa hufanya nini?
• kuingia na kutoka, kuinuka na kushuka
(3) Maneno gani hutaja eneo kandokando ya pwani ambayo maji yanajaa na kupwa?
• tidal flat
1.3.2 Mwendo wa maji
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayoelezea jinsi maji yanavyoenda.
(1) Maneno gani hutaja maji yanapoingia katika kitu?
• fill, flow in, inflow, infuse, infusion, run into
(2) Maneno gani hutaja maji yanapotoka katika kitu?
• spray, bleed, blow, burst, discharge, drain, gush, issue, jet, pour, pouring, run, spew, spout, dribble, drip, effusion, erupt, exude, ooze, outflow, percolate, seep, spout, squirt, sweat, vomit, tap
(3) Maneno gani hutaja maji yanapogawika katika matone?
• kurusha kwa kunyunyiza, rasharasha
(4) Maneno gani hutaja maji yanapochemka?
• kuchemka, kutoa povu, kiputo
1.3.3.1 Kukauka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu ambacho ni kikavu.
(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni kikavu?
• kikavu, kunyauka, kunyaushwa, kisicho na maji, kukaushwa
(2) Maneno gani huelezea ardhi wakati imekauka?
• dry, dusty, thirsty,
(3) Maneno gani huelezea hewa wakati hakuna maji ndani yake?
• drought
(4) Maneno gani hutaja kitu kinachokuwa kikavu?
• kukauka, kunyaushwa, kunywewa, kuvukizwa
(5) Maneno gani hutaja kufanya kitu kiwe kikavu?
• dry something, sear, parch
(6) Maneno gani hutaja au huelezea kuondoa maji kutoka katika kitu fulani?
• kuondoa maji, kutoa maji, kufuta, kupangusa, kukausha, kunyonya
(7) Vifaa gani hutumika katika kuondoa maji kutoka katika vitu?
• sieve, press
1.3.3 Kulowa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja chochote kinachomwagiwa au kulowekwa maji.
(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimemwagiwa maji?
• majimaji, kulowana, unyevunyevu, kulowa kidogo, kulowa sana, kumwagiwa maji
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimemwagiwa maji mengi?
• soaked, soaking wet, sopping wet, wringing wet, awash, dripping, sodden, soggy, saturated, waterlogged, be swimming in, drenched, doused
(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimemwagiwa maji madogo?
• moist, damp, a little wet, clammy, dewy
(4) Maneno gani huelezea ardhi wakati imelowana?
• muddy, boggy, marshy, swampy
(5) Maneno gani huelezea hewa wakati kuna maji ndani yake?
• humid, moist, muggy, steamy, tropical
(6) Maneno gani huelezea mimea wakati imejaa maji?
• green, juicy, succulent
(7) Maneno gani hutaja kitu kinapokuwa na unyevunyevu?
• kulowana
(8) Maneno gani hutaja kufanya kitu kiwe na unyevunyevu?
• wet, get something wet, splash, anoint, dabble, daub, douse, spatter, spray, sprinkle
(9) Maneno gani hutaja kufanya kitu kiwe na unyevunyevu mwingi?
• soak, drench, saturate, flood, swamp, deluge
(10) Maneno gani hutaja kufanya kitu kiwe na unyevunyevu mchache?
• dampen, moisten, lick
(11) Maneno gani hutaja kitu kikinywa au kusharabu maji?
• absorb, blot, daub, soak up, sponge, sop, mop up, wipe up
(12) Maneno gani huelezea kitu kinachoweza kusharabu maji?
• absorbent, porous
Share with your friends: |