Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page168/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   164   165   166   167   168   169   170   171   ...   206

Page

8.2.6.1 Mbali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba kitu fulani kiko mbali na kitu kingine.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kiko mbali na kitu kingine?

far, far away, far off, afar, far afield, far and wide, a far cry from, far apart, far removed, distant, be distant, a long distance, in the distance, some distance, a good distance, a ways, way off, a long way (off), a long ways away, a fair way, quite a ways, nowhere near, miles (away), yonder, wide of, clear off, all over, asunder, at arm's length, on the horizon, the ends of the earth, uttermost parts of the earth

(2) Maneno gani huelezea kitu kilichopo mbali?

distant, remote, faraway, out of the way, long-distance, far-flung

(3) Maneno gani hutaja umbali ulio mkubwa wa kitu fulani?

distance, how far

(4) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kiko mbali ya kutosha mpaka huwezi kushughulika nacho?

too far, out of sight, out of range, beyond reach, out of reach, out of hearing

(5) Maneno gani hutaja tendo la kusogea au kuhamia mbali kidogo ili kutokuwepo na mtu fulani au kitu fulani?

go away, recede

(6) Maneno gani hutaja tendo la kusonga mbele kutoka mtu au gari lililopo nyuma yako?

leave behind, leave in the dust

(7) Maneno gani hutaja hali ya kuwepo au kubaki mbali na kitu fulani?

not go near, not come near, stay away from, keep away from, keep your distance, keep off, stay back, keep back, remain at a distance, stand off, stand aloof, steer clear of, stand clear of

(8) Maneno gani hutaja umbali mkubwa?

long distance, long haul, long range, a fur piece

(9) Maneno gani huelezea sehemu iliyopo mbali na mahali wanapoenda watu wengi?

remote, isolated, out of the way, off the beaten track, secluded, miles from anywhere, in the middle of nowhere, way out, backwater, backcountry, boondocks, boonies, hicks, out in the sticks

(10) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kiko mbali zaidi kuliko kingine?

farther, further, beyond, past, on the other side of, farthest, furthest, extreme, in the offing, background

8.2.6.2 Karibu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba kitu fulani kiko karibu na kitu kingine.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kiko karibu na kitu kingine?

karibu, jirani

(2) Maneno gani huelezea kitu kilichopo karibu?

nearby, nearest, the next, neighboring, local, surrounding

(3) Maneno gani hutaja umbali ulio mdogo wa kitu fulani?

nearness, closeness, proximity

(4) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kiko karibu ya kutosha mpaka unaweza kushughulika nacho?

near enough, close enough, within walking distance, within reach, within range, convenient, handy, be close at hand, around the corner, close up, up close, at close quarters, at close range, right under your nose

(5) Maneno gani hutaja tendo la kusogea au kuhamia ili kuwa karibu zaidi na kitu au mtu?

approach, get near, get nearer, near (v), draw near, get close, get closer, close in on, get as close as possible

(6) Maneno gani hutaja tendo la kusogelea karibu zaidi na mtu au gari lililopo mbele yako?

catch up, be gaining on, be closing on

(7) Maneno gani hutaja hali ya kubaki au kuwepo karibu na kitu fulani?

stay close, keep close, hug, cling to

(8) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kiko karibu zaidi kuliko kingine?

nearer, closer, before, on this side of, nearest, closest

8.2.6.3 Juu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelekeza dhana kwamba kitu fulani kiko juu.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilichopo juu?

high, lofty, upper, alpine, topmost,

(2) Maneno gani huelezea kitu kilichopo juu sana?

soaring,

(3) Maneno gani huelezea kwamba kitu kilichopo juu hewani?

be high up, high above, far above, way up there, sky-high, up in the air, be aloft,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kwenda juu au kupanda?

rise, soar,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kupandisha kitu fulani juu au kufanya kiende juu?

heighten, raise,

(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimepandishwa juu au kimefanyiwa kiende juu?

heightened, raised,

(7) Maneno gani huelezea sehemu iliyopo juu ya eneo linaloizunguka?

raised, elevated,

(8) Maneno gani hutaja hali ya kuwepo juu kuliko kingine?

higher, highest,

(9) Maneno gani hutaja umbali wa juu wa kitu fulani?

height, altitude, level, elevation,

(10) Maneno gani huonyesha umbali wa juu wa kitu fulani?

(100 meters) high, be (100 meters) in height,

(11) Maneno gani hutaja hali ya kuogopa kuwepo juu?

fear of heights, vertigo,

8.2.6.4 Chini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba kitu fulani kiko chini -- yaani, hewani lakini siyo juu sana.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilichopo chini?

low,

(2) Maneno gani( huelezea kitu kilichopo chini sana?

hugging the ground, down low, way down,

(3) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kiko chini?

be low, down,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kushuka chini kidogo?

fall,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kushushia kitu fulani chini kidogo?

lower,

(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimeshushiwa chini kidogo?

lowered,

(7) Maneno gani huelezea sehemu iliyopo chini kuliko eneo linaloizunguka?

low-lying, depressed, depression,

(8) Maneno gani hutaja hali ya kuwepo chini zaidi kuliko kingine?

lower, lowest,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   164   165   166   167   168   169   170   171   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page