Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page152/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   148   149   150   151   152   153   154   155   ...   206

7.5.2 Kuunganisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuunganisha vitu viwili au zaidi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuunganisha vitu viwili au zaidi?

join, join together, agglutinate, assemble, bolt, cement, chain, clip, combine, connect, couple, crimp, fasten, fetter, fuse, glue, grapple, handcuff, hitch, hook together, knit, latch, link, manacle, merge, paste, pin, plaster, put together, put up, rivet, secure, sew, shackle, solder, staple, stick, stick together, tape (up), unite, unify, weld,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuunganisha kitu kimoja na kitu kingine?

affix, anchor, annex, attach, batten, engraft, fix to, graft, moor, nail, screw, secure, stick to, tack,

(3) Maneno gani hutaja vitu viwili vikiunganishwa?

adhere, bind, cleave, cling, cohere, combine, fuse, merge, stick together, unite,

(4) Maneno gani hutaja kitu kikijiunganisha na kingine?

attach to, bind to, fasten to, stick to, take hold of

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuunganisha vitu viwe pamoja?

joining, attachment, bonding, combination, fusion, unification, union, welding,

(6) Maneno gani huelezea vitu ambavyo vimeunganishwa?

joined, affixed, anchored, assembled, attached, bolted, cemented, chained, connected, fastened, fixed to, fused, glued, handcuffed, manacled, nailed, pasted, pinned, plastered, riveted, sewn, shackled, stapled, stick, stuck, taped, united, unified, welded

(7) Maneno gani hutaja kiti kilichotenganezwa kwa kuunganisha vitu?

union, unity, assembly, assemblage, bundle, ensemble, merger, trinity, triumvirate, partnership, compound, couple, coupling, conglomerate, combination, construct (n),

(8) Maneno gani hutaja kitu kinachounganishwa na kingine?

attachment,

(9) Maneno gani hutaja mahali vitu viwili vinapounganishwa?

join (n), joint, junction, connection, contact point, intersection, seam,

(10) Maneno gani hutaja ubora wa kuunganishwa kwa vitu viwili?

bond, coherent, fast, secure, stay, strong (joint/bond), weak (joint/bond), stuck,

(11) Maneno gani hutaja tendo la kuunganisha tena vitu ambavyo vilikuwa vimetengwa?

reunite, reassemble, rejoin, re-glue, reattach, refasten, put back together

7.5.3.1 Kuwa fasaha au safi, kisichochanganywa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa fasaha au safi--yaani, maneno yakielezea kitu (k.m., chakula, maji, au hewa) kisicho na kitu kibaya chochote ndani yake; au kisichochanganywa--maneno yanayoelezea kitu kilicho kimoja tu na hakijachanganywa na kingine.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho fasaha au safi?

pure, pristine, sheer, solid, unadulterated, unblended, uncombined, uncompounded, undiluted, unmixed, unpolluted, untainted, 100%,

(2) Maneno gani hutaja kitu kilicho fasaha au safi?

element

(3) Maneno gani huelezea kitu kisicho fasaha au safi?

impure, adulterated, mixed, polluted, tainted, diluted

(4) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu kiwe fasaha au safi kwa kuondoa vitu vingine kutoka kwake?

purify, distill, refine,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu kisiwe fasaha au safi kwa kuongeza kitu kibaya kwake?

adulterate, contaminate, pollute,

(6) Maneno gani hutaja kitu kibaya ambacho kimeongezeka kwenye kitu kingine?

impurity, contaminant, pollutant, pollution,

7.5.3 Kuchanganya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuchanganya vitu--yaani, kuweka vitu viwili tofauti au zaidi pamoja (kama vile, vimiminiko, viambato vya kupikia au vitu vingine).

(1) Maneno gani humtaja mtu akichanganya vitu?

mix, mix something with something, mix things together, add something to something, amalgamate, bring together, coalesce, combine, commingle, dilute, fuse, imbue, interlard, intermingle, intermix, join, jumble, lump, meld, merge, mingle, scramble, unification, unify, unite,

(2) Maneno gani hutaja vitu vikichanganywa?

amalgamate, blend, combine, commingle, fuse, intermix, meld, merge, merger, unite

(3) Maneno gani hutaja kitu kikiwa katika mchanganyiko wa vitu vingine?

be a mixture of, combine, blend,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kukoroga kitu ili kichanganywe vizuri?

stir, stir up, stir together, beat, blend, knead, whisk,

(5) Maneno gani hutaja kitu kinachotenganezwa kwa kuchanganya vitu?

mix (n), mixture, admixture, amalgam, assortment, blend (n), brew (n), combination, composite, compound, conglomerate, conglomeration, fusion, hodgepodge, intermixture, jumble, mess, miscellany, mishmash, patchwork, odds and ends, solution, a cross between,

(6) Maneno gani huelezea kitu kinachotenganezwa kwa kuchanganya vitu?

mixed, mixed up, amalgamated, assorted, blended, combined, composite, compounded, conglomerated, diluted, half-and-half, heterogeneous, intermixed, jumbled, mingled, miscellaneous, motley, scrambled, tangled, together, varied, variegated,

(7) Zana na mashine gani hutumika katika kuchanganya vitu?

mixer, blender, food processor, eggbeater,

(8) Maneno gani hutaja vitu mbalimbali ambavyo haiwezekani kuvichanganya vizuri au kwa urahisi?

do not mix, incompatible, do not go well together,

7.5.4.1 Kamba, uzi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja kamba, uzi na vitu vingine vinavyotumika katika kufungasha vitu viwili pamoja?

(1) Kuna aina gani za kamba na uzi?

rope, string, band, bindings, bonds, cable, chain, cord, lace, lashing, line, ribbon, rubber band, shoelace, shoestring, strap, thong, twine, binder twine, wire,

7.5.4.2 Kupindamana


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupindamana au kutatanisha--yaani, kitu ambacho ni kirefu na chembaba, k.m., kamba, nyuzi, nywele, nyasi, au mzabibu, kikivurugika, au kuwa na mafundo mengi mpaka ni vigumu kukitenga.

(1) Maneno gani hutaja vitu vinapopindamana?

kutatanisha, kusokotana, kusongamana, kupindamana

(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimepindamana na kitu kingine?

tangled, matted, raveled, snarled, all mixed up,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kusokotoa au kutatanua kitu?

kutatanua, kusokotoa

(4) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimepindamana?

tangle (n), tangled mess, jumble, mix-up, rat's nest, snarl,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   148   149   150   151   152   153   154   155   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page